UJENZI ZONE & MAFUNDI CONNECT AGENCY WAANDAA BONANZA KUWAKUTANISHA MAFUNDI WA FANI HIYO

UJENZI ZONE & MAFUNDI CONNECT AGENCY WAANDAA BONANZA KUWAKUTANISHA MAFUNDI WA FANI HIYO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UJENZI ZONE & MAFUNDI CONNECT AGENCY WAANDAA BONANZA KUWAKUTANISHA MAFUNDI WA FANI HIYO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UJENZI ZONE & MAFUNDI CONNECT AGENCY WAANDAA BONANZA KUWAKUTANISHA MAFUNDI WA FANI HIYO
kiungo : UJENZI ZONE & MAFUNDI CONNECT AGENCY WAANDAA BONANZA KUWAKUTANISHA MAFUNDI WA FANI HIYO

soma pia


UJENZI ZONE & MAFUNDI CONNECT AGENCY WAANDAA BONANZA KUWAKUTANISHA MAFUNDI WA FANI HIYO

Kampuni ya Ujenzi Zone & Mafundi Connect wameandaa Bonanza litakalowakutanisha mafundi na wadau mbalimbali wa fani ya ujenzi, bonanza litakalofanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam siku ya Jumapili March 31, 2019.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Kampuni hiyo, Jacqueline Mushi amesema lengo lakuandaa bonanza hilo nikuwakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya Ujenzi kufahamiana, kuburudika pamoja na kuandaa mipango na mikakati kabambe ya itakayo rahisisha shughuli nzima za ujenzi. 


Mushi amesema wanakutana kutokana na wadau mbalimbali wa fani hiyo kutegemeana kwenye fani hiyo, Wazalishaji wa Vifaa vya ujenzi wanamtegemea zaidi fundi na fundi anafikisha akielewa bidhaa atafikisha ujumbe kwa wateja. 

Pia Mushi amesema wameanzisha Kampuni hiyo kwa takriban miaka Saba sasa, kutokana na changamoto mbalimbali zilizokuwa zinawakumba katika Ujenzi. Mfano uwepo wa migogoro baina ya Mafundi ya Wateja.


Moja wa Wadhamini, kutoka Kampuni ya Vifaa mbalimbali vya Ujenzi ya Import International Tanzania Limited,  Tumaini Mkojera amesema wamevutiwa na kazi za Ujenzi Zone & Mafundi Connect kutokana na Kampuni hiyo kuvutiwa na kuweka uhusiano mzuri kati ya Mafundi Ujenzi na Wateja. 


Mkojera amesema wameona ni vyema kushiriki Bonanza hilo ili kupata nafasi kukutana na Mafundi nakuwapa mafunzo yatakayowasaidia kwenye baishara zao. 

Bonanza hilo litatumia nafasi hiyo kuwakutanisha wadau hao wa fani ya ujenzi na mafundi ambapo pia litaunda Timu ya Mpira wa Miguu itakayoitwa Ujenzi FC. 
Pia litashirikisha Wasanii mbalimbali wa Bongo Fleva akiwemo Inspector Haroun 'Babu' na Banana Zoro.
Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Kampuni hiyo, Jacqueline Mushi  akizungumza na waandishi wa hahari juu ya bonanza litakalowakutanisha mafundi na wadau mbalimbali wa fani ya ujenzi,  litakalofanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam siku ya Jumapili March 31, 2019.
Picha ya pamoja.


Hivyo makala UJENZI ZONE & MAFUNDI CONNECT AGENCY WAANDAA BONANZA KUWAKUTANISHA MAFUNDI WA FANI HIYO

yaani makala yote UJENZI ZONE & MAFUNDI CONNECT AGENCY WAANDAA BONANZA KUWAKUTANISHA MAFUNDI WA FANI HIYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UJENZI ZONE & MAFUNDI CONNECT AGENCY WAANDAA BONANZA KUWAKUTANISHA MAFUNDI WA FANI HIYO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/ujenzi-zone-mafundi-connect-agency.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UJENZI ZONE & MAFUNDI CONNECT AGENCY WAANDAA BONANZA KUWAKUTANISHA MAFUNDI WA FANI HIYO"

Post a Comment