title : MFUKO MAWASILIANO KWA WOTE YATEMBELEA MINARA INAYOJENGWA ROMBO
kiungo : MFUKO MAWASILIANO KWA WOTE YATEMBELEA MINARA INAYOJENGWA ROMBO
MFUKO MAWASILIANO KWA WOTE YATEMBELEA MINARA INAYOJENGWA ROMBO
Katibu Tawala Wilaya ya Rombo (DAS)Bw. Abubakar Asenga akimuongoza Dkt. Jimmy Yonazi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, alipotembelea Minara inayojengwa Rombo na maeneo yenye uhaba wa mawasiliano ili kuongeza usikivu wa Radio na upatikanaji wa Mawasiliano ya Simu .
Ziara hii inalengo la kumaliza Changamoto ya maingiliano ya Simu na Radio toka nchi Jirani ya Kenya.
Naibu katibu Mkuu Dkt Yonaz aliambatana na viongozi wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote ili nao waweze kuongeza nguvu zaidi katika utekelezaji wa Ilani ya CCM ilioahidi kuendelea kuboresha Mawasiliano kwa Wananchi.
Katibu Tawala Wilaya ya Rombo (DAS), Abubakar Asenga akimueleza jambo Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano,Dkt Jimmy Yonaz alipotembelea Minara inayojengwa Rombo na maeneo yenye uhaba wa mawasiliano ili kuongeza usikivu wa Radio na upatikanaji wa Mawasiliano ya Simu .
Hivyo makala MFUKO MAWASILIANO KWA WOTE YATEMBELEA MINARA INAYOJENGWA ROMBO
yaani makala yote MFUKO MAWASILIANO KWA WOTE YATEMBELEA MINARA INAYOJENGWA ROMBO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MFUKO MAWASILIANO KWA WOTE YATEMBELEA MINARA INAYOJENGWA ROMBO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/mfuko-mawasiliano-kwa-wote-yatembelea.html
0 Response to "MFUKO MAWASILIANO KWA WOTE YATEMBELEA MINARA INAYOJENGWA ROMBO"
Post a Comment