TANZANIA, UGANDA ZAJADILIANA ULINZI BOMBA LA MAFUTA

TANZANIA, UGANDA ZAJADILIANA ULINZI BOMBA LA MAFUTA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZANIA, UGANDA ZAJADILIANA ULINZI BOMBA LA MAFUTA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZANIA, UGANDA ZAJADILIANA ULINZI BOMBA LA MAFUTA
kiungo : TANZANIA, UGANDA ZAJADILIANA ULINZI BOMBA LA MAFUTA

soma pia


TANZANIA, UGANDA ZAJADILIANA ULINZI BOMBA LA MAFUTA

Ikiwa ni muendelezo wa majadiliano mbalimbali kuhusu mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania (EACOP), Kamati za Ulinzi na Usalama za mradi kutoka  nchi hizo zimekutana jijini Kampala kwa lengo kujadili masuala ya usalama ya mradi huo.

Kikao kati ya pande hizo mbili kilianza tarehe 18/3/2019 na kuhitimishwa tarehe 20 mwezi huu  na Wawakilishi wa Wakuu  wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa nchi hizo mbili ambapo  kuliandaliwa Makubaliano ya Awali (MoU) ya ulinzi na usalama ya mradi wa Bomba la Mafuta. 

Makubaliano ya Awali (MoU) ya ulinzi na usalama ya mradi huo yanatarajiwa kusainiwa katika vikao vijavyo vya ngazi ya Mawaziri wa nchi husika.
Watendaji kutoka Tanzania na Uganda wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kikao chao kilichohusu masuala ya usalama katika mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania.
 Watendaji kutoka Tanzania na Uganda wakiwa katika kikao cha majadiliano kilichohusu masuala ya usalama katika mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania.
Wataalam kutoka Tanzania wakiwa katika kikao cha majadiliano kilichohusu masuala ya usalama katika mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania.


Hivyo makala TANZANIA, UGANDA ZAJADILIANA ULINZI BOMBA LA MAFUTA

yaani makala yote TANZANIA, UGANDA ZAJADILIANA ULINZI BOMBA LA MAFUTA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZANIA, UGANDA ZAJADILIANA ULINZI BOMBA LA MAFUTA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/tanzania-uganda-zajadiliana-ulinzi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TANZANIA, UGANDA ZAJADILIANA ULINZI BOMBA LA MAFUTA"

Post a Comment