JIMMY CARTER APEWA CHEO KIPYA BAADA YA KULA CHUMVI KUMZIDI GEORGE H.W

JIMMY CARTER APEWA CHEO KIPYA BAADA YA KULA CHUMVI KUMZIDI GEORGE H.W - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JIMMY CARTER APEWA CHEO KIPYA BAADA YA KULA CHUMVI KUMZIDI GEORGE H.W, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JIMMY CARTER APEWA CHEO KIPYA BAADA YA KULA CHUMVI KUMZIDI GEORGE H.W
kiungo : JIMMY CARTER APEWA CHEO KIPYA BAADA YA KULA CHUMVI KUMZIDI GEORGE H.W

soma pia


JIMMY CARTER APEWA CHEO KIPYA BAADA YA KULA CHUMVI KUMZIDI GEORGE H.W

Awa Rais Mkongwe zaidi anayeishi nchini Marekani, Avunja rekodi ya Rais George H.W Bush aliyefariki akiwa na miaka 94 na siku 171

Na Leandra Gabriel, Blogu yajamii
ALIYEKUWA Rais wa 39 wa  Marekani Jimmy Carter amevunja rekodi kwa kuwa Rais mzee zaidi anayeishi nchini humo.

Amepewa cheo hicho leo Machi 22 mara baada ya kufikisha miaka 94 na siku 172 akivunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya  41 George H.W Bush ambaye alifariki  mwezi Novemba mwaka jana akiwa na umri wa miaka 94 na siku 171.

Catter alizaliwa October 1, 1924 na alihudumu kama Rais wa 39 wa Marekani kuanzia 1977 hadi 1981 na kabla ya kuhudumu nafasi hiyo amewahi kushika nyadhifa katika ngazi za Bunge kwa miaka ipatayo 10.


Hivyo makala JIMMY CARTER APEWA CHEO KIPYA BAADA YA KULA CHUMVI KUMZIDI GEORGE H.W

yaani makala yote JIMMY CARTER APEWA CHEO KIPYA BAADA YA KULA CHUMVI KUMZIDI GEORGE H.W Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JIMMY CARTER APEWA CHEO KIPYA BAADA YA KULA CHUMVI KUMZIDI GEORGE H.W mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/jimmy-carter-apewa-cheo-kipya-baada-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JIMMY CARTER APEWA CHEO KIPYA BAADA YA KULA CHUMVI KUMZIDI GEORGE H.W"

Post a Comment