title : Taarifa ya Msiba
kiungo : Taarifa ya Msiba
Taarifa ya Msiba
Taarifa ya Msiba
Habari za mchana.Taarifa fupi zilizotufikia muda mchache uliopita mtanzania mwenzetu aishie hapa Columbus Ohio *Stanley Mushi* amefariki dunia .
Marehemu hakuwa mwanamfuko hila kama jumuiya tunaombwa kushirikiana wote kwenye jambo hili.
Taratibu zingine na maelezo mengine tutawajulisha . Mungu amlaze mahali pema peponi.Amina!
TCCA
Uongozi.
Hivyo makala Taarifa ya Msiba
yaani makala yote Taarifa ya Msiba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taarifa ya Msiba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/taarifa-ya-msiba.html
0 Response to "Taarifa ya Msiba"
Post a Comment