BALOZI KARUME AWATAKA WATANZANIA KUSHIRIKI KATIKA UTALII WA NDANI.

BALOZI KARUME AWATAKA WATANZANIA KUSHIRIKI KATIKA UTALII WA NDANI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI KARUME AWATAKA WATANZANIA KUSHIRIKI KATIKA UTALII WA NDANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI KARUME AWATAKA WATANZANIA KUSHIRIKI KATIKA UTALII WA NDANI.
kiungo : BALOZI KARUME AWATAKA WATANZANIA KUSHIRIKI KATIKA UTALII WA NDANI.

soma pia


BALOZI KARUME AWATAKA WATANZANIA KUSHIRIKI KATIKA UTALII WA NDANI.


Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar(SMZ) Balozi Ali Abeid Aman Karume amewataka Watanzania kutembelea sehemu za Vivutio vya Utalii na kuondokana na dhana kwamba utalii unafanywa na wageni tu.

Balozi Karume ameyasema hayo leo Wilayani Mbozi,Mkoa wa Songwe wakati alipotembelea eneo la urithi na uhifadhi ambapo kulidondoka KIMONDO chenye uzito wa tani 12 kinachokifanya KIMONDO hicho kinachopatikana Mkoa wa Songwe kuwa ni cha nane(8) duniani na cha pili Afrika kwa Uzito.

“Nimefurahishwa sana na Historia ya kimondo hichi,ni vyema Watanzania wengi zaidi wakatenga muda kuja kujifunza hapa.Ni jambo la kujivunia kidunia kuwa sehemu ya nchi zanye Vimondo vizito zaidi duniani”Alisema Balozi Karume.

Wakati huo huo Balozi Karume aliongozana na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jenarali Mwangela,*Naibu Waziri Mavunde* na Naibu waziri wa Vijana SMZ Mh Lulu Mshamu kukagua maandalizi ya mwisho ya Uzinduzi wa Mbio za Mwenge Kitaifa zinazotarajiwa kuzinduliwa tarehe 2.4.2019 Mkoani Songwe.









Hivyo makala BALOZI KARUME AWATAKA WATANZANIA KUSHIRIKI KATIKA UTALII WA NDANI.

yaani makala yote BALOZI KARUME AWATAKA WATANZANIA KUSHIRIKI KATIKA UTALII WA NDANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI KARUME AWATAKA WATANZANIA KUSHIRIKI KATIKA UTALII WA NDANI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/balozi-karume-awataka-watanzania.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BALOZI KARUME AWATAKA WATANZANIA KUSHIRIKI KATIKA UTALII WA NDANI."

Post a Comment