SPIKA WA BUNGE LA EAC AKUTANA NA TAASISI YA DORIS MOLLEL KUZUNGUMZIA WATOTO NJITI

SPIKA WA BUNGE LA EAC AKUTANA NA TAASISI YA DORIS MOLLEL KUZUNGUMZIA WATOTO NJITI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA WA BUNGE LA EAC AKUTANA NA TAASISI YA DORIS MOLLEL KUZUNGUMZIA WATOTO NJITI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA WA BUNGE LA EAC AKUTANA NA TAASISI YA DORIS MOLLEL KUZUNGUMZIA WATOTO NJITI
kiungo : SPIKA WA BUNGE LA EAC AKUTANA NA TAASISI YA DORIS MOLLEL KUZUNGUMZIA WATOTO NJITI

soma pia


SPIKA WA BUNGE LA EAC AKUTANA NA TAASISI YA DORIS MOLLEL KUZUNGUMZIA WATOTO NJITI

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Martin Ngoga (katikati) akipokea picha maalum yenye kuonyesha uhalisia wa Mtoto Njiti, kutoka kwa Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini, Doris Mollel (kulia) mara baada ya kukutana na kuzungumzia mambo mbalimbali yanayohusu hali ya Watoto Njiti kwa ukanda wa Afrika Mashariki, katika kikao kilichofantika kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Daktari bingwa wa watoto wachanga kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Augustine Massawe aliyeambatana na Taasisi hiyo.
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Martin Ngoga (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukutana na Taasisi ya Doris Mollel kuzungumzia mambo mbalimbali yanayohusu hali ya Watoto Njiti kwa ukanda wa Afrika Mashariki, katika kikao kilichofantika kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar mwishoni mwa wiki. Wa pili kushoto ni Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini, Doris Mollel na kulia ni Daktari bingwa wa watoto wachanga kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Augustine Massawe aliyeambatana na Taasisi hiyo.
Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini, Doris Mollel akizungumza jambo wakati wa kikao na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Martin Ngoga, kuzungumzia mambo mbalimbali yanayohusu hali ya Watoto Njiti kwa ukanda wa Afrika Mashariki, katika kikao kilichofantika kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar mwishoni mwa wiki.
Daktari bingwa wa watoto wachanga kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Augustine Massawe akizungumza wakati akitolea ufafanuzi hali ya Watoto Njiti katika kikao cha pamoja na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki.






Hivyo makala SPIKA WA BUNGE LA EAC AKUTANA NA TAASISI YA DORIS MOLLEL KUZUNGUMZIA WATOTO NJITI

yaani makala yote SPIKA WA BUNGE LA EAC AKUTANA NA TAASISI YA DORIS MOLLEL KUZUNGUMZIA WATOTO NJITI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA WA BUNGE LA EAC AKUTANA NA TAASISI YA DORIS MOLLEL KUZUNGUMZIA WATOTO NJITI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/spika-wa-bunge-la-eac-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA WA BUNGE LA EAC AKUTANA NA TAASISI YA DORIS MOLLEL KUZUNGUMZIA WATOTO NJITI"

Post a Comment