title : MVUA ILIYONYESHA MOSHI KWA MUDA MFUPI YALETA ATHARI.
kiungo : MVUA ILIYONYESHA MOSHI KWA MUDA MFUPI YALETA ATHARI.
MVUA ILIYONYESHA MOSHI KWA MUDA MFUPI YALETA ATHARI.
Anaadika Dixon Busagaga,Moshi
MVUA kubwa iliyoambatana na upepo imesababisha adha kwa watumiaji wa BARABARA kadhaa katika mji wa Moshi baada ya miti kukatika na kufunga barabara.
Globu ya Jamii imepita maeneo kadhaa ya mji wa Moshi na kujionea kadhia hiyo huku maeneo mengine wananchi wakijitolea kuondosha miti iloyoanguka barabarani kwa kuikata huku watumiaji wa vyombo vya moto wakilazimika kunadili njia za kupita .
Maeneo ambayo watumiaji wa vyombo vya moto wameathirika ni pamoja barabara ya Shanty town,barabara ya International school pamoja na barabara ya Shule ya sekondari Mawenzi.
Maeneo mengine imeshuhudiwa miundombinu ya umeme ikiwa imeharibika baada ya nguzo kukatika na nyaya kuangakua katikati ya barabara.
Hivyo makala MVUA ILIYONYESHA MOSHI KWA MUDA MFUPI YALETA ATHARI.
yaani makala yote MVUA ILIYONYESHA MOSHI KWA MUDA MFUPI YALETA ATHARI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MVUA ILIYONYESHA MOSHI KWA MUDA MFUPI YALETA ATHARI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/mvua-iliyonyesha-moshi-kwa-muda-mfupi.html
0 Response to "MVUA ILIYONYESHA MOSHI KWA MUDA MFUPI YALETA ATHARI."
Post a Comment