MKUU WA WILAYA TUNDURU AKABIDHI VITI, MEZA KWA SHULE YA SEKONDARI MUHUWESI

MKUU WA WILAYA TUNDURU AKABIDHI VITI, MEZA KWA SHULE YA SEKONDARI MUHUWESI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA WILAYA TUNDURU AKABIDHI VITI, MEZA KWA SHULE YA SEKONDARI MUHUWESI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA WILAYA TUNDURU AKABIDHI VITI, MEZA KWA SHULE YA SEKONDARI MUHUWESI
kiungo : MKUU WA WILAYA TUNDURU AKABIDHI VITI, MEZA KWA SHULE YA SEKONDARI MUHUWESI

soma pia


MKUU WA WILAYA TUNDURU AKABIDHI VITI, MEZA KWA SHULE YA SEKONDARI MUHUWESI



Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

MKUU wa Wilaya ya Tunduru Juma Homera amekabidhi meza na viti 70 kwa shule mpya ya Sekondari ya Muhewesi iliyosajiliwa mwaka 2019 na hiyo kumaliza changamoto hiyo ambayo ilikuwepo shuleni hapo. 

Homera amekabidhi viti na meza hivyo kwa Ofisa Elimu Sekondari katika wilaya hiyo Selestine Kahangwa kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru. 

Shule hiyo ipo kwenye kijiji na kata ya Muhuwesi ambapo moja ya changamoto kubwa ilikuwa ni ukosefu wa viti na meza kwa ajili ya wanafunzi wanaosoma shuleni hapo. 

Akizungumzia vifaa hivyo ,Homera ameiambia Mchuzi Blog kuwa thamani ya vifaa vyote hivyo ni Sh.5,000,000 na kwamba amewashukuru wadau walioshiriki kuchangia meza na viti hivyo.Amewataja baadhi ya wadau hao ni Kampuni ya Jafu Investment iliyochangia meza 40 na viti 40, Jitegemee Ranchi iliyochangia meza 15 na viti 15, Lupondo amechangia meza 5 na viti 5,na Mataka amechangia meza 10 na viti 10. 

Hata hivyo, Homera amesema anatarajia kukabidhi meza 200 na viti 200 vingine kwa ajili ya shule mbalimbali za sekondari wilayani humo huku akisisitiza kuwa "Tukutane site#Tukutane Kazini.




Hivyo makala MKUU WA WILAYA TUNDURU AKABIDHI VITI, MEZA KWA SHULE YA SEKONDARI MUHUWESI

yaani makala yote MKUU WA WILAYA TUNDURU AKABIDHI VITI, MEZA KWA SHULE YA SEKONDARI MUHUWESI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA WILAYA TUNDURU AKABIDHI VITI, MEZA KWA SHULE YA SEKONDARI MUHUWESI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/mkuu-wa-wilaya-tunduru-akabidhi-viti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUU WA WILAYA TUNDURU AKABIDHI VITI, MEZA KWA SHULE YA SEKONDARI MUHUWESI"

Post a Comment