title : Mawaziri wa Afrika wakutana Morocco
kiungo : Mawaziri wa Afrika wakutana Morocco
Mawaziri wa Afrika wakutana Morocco
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Morocco, Mhe. Nasser Bourita, baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa mkutano.
Dkt. Mnyepe amemwakilisha Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika kuhusu maamuzi ya Umoja wa Afrika (AU) kuunga mkono jitihada za usuluhishi wa mgogoro wa eneo la Sahara Magharibi kati ya Morocco na Saharawi uliofanyika jijini Marrakech, Morocco tarehe 25 Machi, 2019.
Katibu Mkuu, Dkt. Mnyepe akifuatilia mazungumzo na michango ya wajumbe kutoka nchi mbalimbali wakati wa mkutano huo.
Katibu Mkuu, Dkt. Mnyepe wa tatu kutoka kushoto, mstari wa nyuma, akiwa katika picha ya pamoja ya Mawaziri na Wawakilishi wa Mawaziri walioshiriki mkutano huo.
Hivyo makala Mawaziri wa Afrika wakutana Morocco
yaani makala yote Mawaziri wa Afrika wakutana Morocco Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mawaziri wa Afrika wakutana Morocco mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/mawaziri-wa-afrika-wakutana-morocco.html
0 Response to "Mawaziri wa Afrika wakutana Morocco"
Post a Comment