MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI KAHAMA

MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI KAHAMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI KAHAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI KAHAMA
kiungo : MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI KAHAMA

soma pia


MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI KAHAMA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wanachi wa kata ya Isaka waliojitokeza kwa wingi kumlaki wakati akiwasili wilayani Kahama kwenye ziara ya kikazi. (Picha na Ofisi ya Makamu Rais)
 Matanki mawili ya maji ambayo ni sehemu ya mradi wa upanuzi wa mtandao wa maji ya ziwa Victoria kwenda katika miji ya Kagongwa na Isaka . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua matanki mawili ya maji ambayo ni sehemu ya mradi wa upanuzi wa mtandao wa maji ya ziwa Victoria kwenda katika miji ya Kagongwa na Isaka kwa gharama ya shilingi blioni 24.72. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa Kagongwa, wilayani Kahama waliojitokeza kwa wingi kumsalimu.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa Kagongwa, wilayani Kahama waliojitokeza kwa wingi kumsalimu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya namna mazingira yatakavyoachwa mara baada ya mgodi wa dhahabu wa Buzwagi kufungwa kutoka kwa Meneja wa Mazingira na Ufungaji Mgodi Bi. Rebecca Stephen.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Wanafunzi wa Shule ya Sekondari wakicheza ngoma wakati wa kumkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye aliweka jiwe la msingi la ufunguzi wa madarasa la mradi wa TEA na P4R. Mkamu wa Rais yupo wilayani Kahama kwa ziara yenye lengo la kuhamasisha na kukagua shughuli za maendeleo.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI KAHAMA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI KAHAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI KAHAMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/makamu-wa-rais-afanya-ziara-wilayani_1.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI KAHAMA"

Post a Comment