title : DPP AKIZUNGUMZIA MALALAMIKO YA MUSA ADAM SADIKI KUBAMBIKIZIWA KESI YA MAUAJI TABORA
kiungo : DPP AKIZUNGUMZIA MALALAMIKO YA MUSA ADAM SADIKI KUBAMBIKIZIWA KESI YA MAUAJI TABORA
DPP AKIZUNGUMZIA MALALAMIKO YA MUSA ADAM SADIKI KUBAMBIKIZIWA KESI YA MAUAJI TABORA

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini Bw.Biswalo Mganga akisikiliza maswali kutoka kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipofanya mkutano na waandishi wa habari juu ya malalamiko ya Musa Adam Sadiki ya kubambikiziwa kesi ya mauaji katika mahakama ya Tabora. Kulia kwake ni Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Bw.Edson Makallo na Kushoto kwake ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari-MAELEZO Bi.Zamaradi Kawawa.


Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini Bw.Biswalo Mganga akisoma moja ya nakala ya mashtaka wakati akizungumzia malalamiko ya Musa Adam Sadiki ya kubambikiziwa kesi ya mauaji katika mahakama ya Tabora. Kulia kwake ni Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Bw.Edson Makallo na Kushoto kwake ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari-MAELEZO Bi.Zamaradi Kawawa. Picha na Daudi Manongi,MAELEZO
Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini Bw.Biswalo Mganga akizungumza na waandishi wa habari juu ya malalamiko ya Musa Adam Sadiki ya kubambikiziwa kesi ya mauaji katika mahakama ya Tabora.Kulia kwake ni Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Bw.Edson Makallo na Kushoto kwake ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari-MAELEZO Bi.Zamaradi Kawawa.
Hivyo makala DPP AKIZUNGUMZIA MALALAMIKO YA MUSA ADAM SADIKI KUBAMBIKIZIWA KESI YA MAUAJI TABORA
yaani makala yote DPP AKIZUNGUMZIA MALALAMIKO YA MUSA ADAM SADIKI KUBAMBIKIZIWA KESI YA MAUAJI TABORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DPP AKIZUNGUMZIA MALALAMIKO YA MUSA ADAM SADIKI KUBAMBIKIZIWA KESI YA MAUAJI TABORA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/dpp-akizungumzia-malalamiko-ya-musa.html
0 Response to "DPP AKIZUNGUMZIA MALALAMIKO YA MUSA ADAM SADIKI KUBAMBIKIZIWA KESI YA MAUAJI TABORA"
Post a Comment