dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali

dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali
kiungo : dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali

soma pia


dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali

 Mkuu wa wilaya ya Newala mkoani Mtwara Aziza Mangosongo akisaidiwa kupandishwa katika gari la wagonjwa baada ya kupata Rufaa toka hospital ya sokoine kwenda muhimbili..
 Mkuu wa mkoa wa lindi akiwa na mkuu wa wilaya ya Mtwara Evod Mmanda(kulia ) wakimsindikiza mkuu wa wilaya ya Newala Aziza Mangosongo aliepata ajali jana usiku katika kijiji cha mandawa wilayani kilwa mkoani lindi na kukimbizwa katika hospital ya sokoine akiwa na majreuhi wengine watatu
 kuu wa wilaya ya Newala Aziza mangosongo akiwa tayari katika gari la wagonjwa kuanza safari ya matibabu Zaidi katika hospital ya Muhimbili
 Mkuu wa mkoa wa Lindi Godfrey Zambi,akimsalimia mkuu wa wilaya ya newala Aziza Mangosongo kabla ya kupewa rufaa mchana leo

 Mkuu wa mkoa wa lindi,Godfrey zambi akibadilishana mawazo na mkuu wa mkoa wa mtwara,Gelasius Byakanwa mara baada ya kumtakia hali mkuu wa wilaya ya Newala Aliepata ajali jana na kulazwa katika hospital ya sokoine Mjini Lindi
 Mkuu wa mkoa wa lindi,Godfrey zambi akiwa na mkuu wa mkoa wa mtwara Gelasius Byakanwa ,pamoja wakuu wa wilaya waliofika kumtakia heri Mkuu wa wilaya newala katika hospital ya sokoine


Hivyo makala dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali

yaani makala yote dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/dc-newala-akimbizwa-muhimbili-baada-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali"

Post a Comment