title : ZANTELI YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KUPITIA PROMSHENI YAO YA 'TUMIA EZYPESA USHINDE'
kiungo : ZANTELI YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KUPITIA PROMSHENI YAO YA 'TUMIA EZYPESA USHINDE'
ZANTELI YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KUPITIA PROMSHENI YAO YA 'TUMIA EZYPESA USHINDE'
Meneja wa mawasiliano wa Zantel, Rukia Mtingwa, amesema kuwa promosheni hii itadumu kwa kipindi cha miezi mitatu na hadi kufikia sasa zimefanyika droo mbili ambazo zimewezesha wateja 60 kujishindia simu za SmartPhone pia kutakuwepo na droo ya mwezi ambayo itawezesha wateja kujishindia fedha taslimu kati ya shilingi 200,000/-mpaka shilingi 1,000,000/-na wateja wapya wanapatiwa motisha.
Meneja wa Zantel kitengo cha Bidhaa EZYPESA Leonard Kameta (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya na washindi waliopokea zawadi zao za simu za kisasa za mkononi (SmartPhones).
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Zantel, Sakyi Opuku akimkabidhi zawadi ya simu mmoja wa washindi wa promosheni ya tumia EzyPesa ushinde, Rehema Ali Rashid wa Mombasa Unguja, hafla iliyofanyika katika ofisi za Zantel Vuga mjini Unguja.
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Zantel, Sakyi Opuku akimkabidhi zawadi ya simu mmoja wa washindi mshindi wa shindano la tumia Ezypesa ushinde kutoka Zanzibar katika hafla iliyofanyika Zanzibar.





Hivyo makala ZANTELI YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KUPITIA PROMSHENI YAO YA 'TUMIA EZYPESA USHINDE'
yaani makala yote ZANTELI YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KUPITIA PROMSHENI YAO YA 'TUMIA EZYPESA USHINDE' Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZANTELI YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KUPITIA PROMSHENI YAO YA 'TUMIA EZYPESA USHINDE' mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/zanteli-yaendelea-kumwaga-zawadi.html
0 Response to "ZANTELI YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KUPITIA PROMSHENI YAO YA 'TUMIA EZYPESA USHINDE'"
Post a Comment