title : WAZIRI MKUU AREJEA DODOMA
kiungo : WAZIRI MKUU AREJEA DODOMA
WAZIRI MKUU AREJEA DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amerejea jijini Dodoma leo Februari 1, 2019 baada ya kumuwakilisha Rais, Dkt. John Magufuli katika mazishi ya mke wa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary bin Zubeir yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamndolwa wilayani Korogwe, Tanga, Januari 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (watatu kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge (kulia) kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma wakati aliporejea jijini Dodoma baada ya kumuwakilisha Rais, Dkt. John Magufuli katika mazishi ya mke wa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary bin Zubeir yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamndolwa wilayani Korogwe, Tanga, Januari 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU AREJEA DODOMA
yaani makala yote WAZIRI MKUU AREJEA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AREJEA DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/waziri-mkuu-arejea-dodoma.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AREJEA DODOMA"
Post a Comment