WATATU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MIRUNGI

WATATU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MIRUNGI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATATU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MIRUNGI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATATU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MIRUNGI
kiungo : WATATU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MIRUNGI

soma pia


WATATU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MIRUNGI

Na Karama Kenyunko Globu ya Jamii.
WATU watatu wakazi wa Jijini Dar es Salaam, leo Februari 4, 2019 wamepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu tuhuma za kukutwa na mirungi yenye uzito wa kilogramu 45.22.

Washtakiwa hao, Juma Hussein, Mwanaidi Mohamed na Salama Tunzamali, wamesomewa mashtaka mawili ya kusafirisha dawa za kulevya mbele ya Hakimu Mkazi Janeth Mtega wa Mahakama hiyo.

Mapema,  akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali Faraji Nguka amedai  katika shtaka la kwanza la kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi inadaiwa, Januari 18 mwaka huu, huko  Kariakoo eneo La Mtambani Hussein na Mohamed. walisafirisha mirungi yenye uzito wa kilogramu 30.24.
Aidha mshtakiwa Tunzamali anadaiwa, siku na mahali hapo, alisafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi yenye uzito wa kilogramu 14.98.

Hata hivyo, washtakiwa wamekana kutenda makosa hayo na wamerudishwa rumande kwa kuwa ujazo wa wa dawa waliokamatwa nao Hussein na Tunzamali hauna dhamana huku mshtakiwa Mohamed akibahatika kusomewa masharti ya dhamana ambayo Pia hakuweza kuyatimiza.

 Kwa mujibu wa upande wa mashtaka upelelezi katika kesi hiyo bado haujakamilika. Kesi hiyo imeahirishwa  hadi Februari 19, mwaka huu kwa ajili ya kutajwa.


Hivyo makala WATATU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MIRUNGI

yaani makala yote WATATU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MIRUNGI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATATU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MIRUNGI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/watatu-kizimbani-kwa-tuhuma-za-kukutwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WATATU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MIRUNGI"

Post a Comment