WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WATAKIWA KUWA WELEDI KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO

WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WATAKIWA KUWA WELEDI KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WATAKIWA KUWA WELEDI KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WATAKIWA KUWA WELEDI KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO
kiungo : WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WATAKIWA KUWA WELEDI KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO

soma pia


WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WATAKIWA KUWA WELEDI KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO

Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi(PSPTB),Godfred Mbanyi akizungumza na Wanafunzi wa utafiti wa Masuala ya ununuzi wakati wa kufunga semina ya watafiti hao, ambao wanafanya tafiti kwa mujibu wa mtaala wa bodi inavyotaka ili  wasajiliwe na kuhitimu mafunzo ya bodi, Pia mkurugenzi huyo alitumia wasaa huo kuwataka wawe waadilifu na wazalendo katika kazi hili kusaidia Taifa kusonga mbele
Mkurugenzi wa Mafunzo wa PSPTB,Amani Ngonyani akizungumza na Wanafunzi wa utafiti ambao wamemaliza mafunzo na wako tayari kwa ajili ya kuingia Mtaani kufanya tafiti ili waweze kufanya mitihani ya bodi hiyo.
Afisa Mahusiniano wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi(PSPTB), Shamimu Mdee akizungumza na Wanafunzi hao kabla ya kumkaribisha kaimu Mkurugenzi wa bodi hiyo kutoa nasaha zake
Mmoja ya Wanfunzi wanokwenda kufanya tafiti  kuhusu masuala ya ununuzi na ugavi ,Noelia Richard akipokea cheti kutoka kwa kaimu Mkurugenzi wa bodi ya PSPTB, Godfred Mbanyi.
Mmoja wa Mwanafunzi wa Masuala ya Ununuzi na Ugavi Moerdekai Lasmon akipokea cheti kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi SPTB),Godfred Mbanyi mara baada ya kumaliza mafunzo hayo.
Wanafunzi wa mitihani ya bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB) Walioshiriki katika semina ya siku tano iliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa kwenye Shule ya Sheria jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WATAKIWA KUWA WELEDI KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO

yaani makala yote WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WATAKIWA KUWA WELEDI KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WATAKIWA KUWA WELEDI KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/wataalamu-wa-ununuzi-na-ugavi-watakiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WATAKIWA KUWA WELEDI KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO"

Post a Comment