title : WASANII WAKONGWE WABWAGWA TUZO ZA SZIFF
kiungo : WASANII WAKONGWE WABWAGWA TUZO ZA SZIFF
WASANII WAKONGWE WABWAGWA TUZO ZA SZIFF
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Tulia Akson Mwansasu akikabidhi tuzo ya Msanii Bora wa kike, Mtoto Kutoka Iringa aliyecheza Filamu ya Kesho
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Tulia Akson Mwansasu akizungumza wakati wa ufunguzi usiku wa Tuzo za Sinema Zetu Film Festival zilizofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.
Mseamaji wa Klabu ya Simba Haji Manara akikabidhi Tuzo kwa Muongozaji wa Filamu John Kallaghe
Wema Sepetu akizungumza Jambo na Wadau wa Muziki waliofika katika tuzo hizo za Sinema zetu
Baadhi ya Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wakifuatilia Tuzo za Sinema Zetu zilizofanyika Mlimani City.
Washehereshaji wa Tuzo hizo Baruani Muuza na Elizabeth Michael wakiwa jukwani wamependeza
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo akitoa neno kama Mlezi wa Tuzo hizo na kukaribisha msimu wa tatu
Muigizaji Maarufu katika Sinema ya Sultan Shaazad Mustafa akiwasili katika ukumbi wa Mlimani City Mahali ambapo Tuzo za Sinema zetu zilifanyika.
Hivyo makala WASANII WAKONGWE WABWAGWA TUZO ZA SZIFF
yaani makala yote WASANII WAKONGWE WABWAGWA TUZO ZA SZIFF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WASANII WAKONGWE WABWAGWA TUZO ZA SZIFF mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/wasanii-wakongwe-wabwagwa-tuzo-za-sziff.html
0 Response to "WASANII WAKONGWE WABWAGWA TUZO ZA SZIFF"
Post a Comment