MSAMA PROMOTIONS YATOA MSAADA WA VYAKULA VITUO SITA VYA YATIMA NA WASIOJIWEZA

MSAMA PROMOTIONS YATOA MSAADA WA VYAKULA VITUO SITA VYA YATIMA NA WASIOJIWEZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSAMA PROMOTIONS YATOA MSAADA WA VYAKULA VITUO SITA VYA YATIMA NA WASIOJIWEZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSAMA PROMOTIONS YATOA MSAADA WA VYAKULA VITUO SITA VYA YATIMA NA WASIOJIWEZA
kiungo : MSAMA PROMOTIONS YATOA MSAADA WA VYAKULA VITUO SITA VYA YATIMA NA WASIOJIWEZA

soma pia


MSAMA PROMOTIONS YATOA MSAADA WA VYAKULA VITUO SITA VYA YATIMA NA WASIOJIWEZA

Kuelekea Tamasha la Kihistoria la Pasaka kwa mwaka 2019, Kampuni ya Msama Promotions imetoa msaada katika vituo Sita vya Watoto wasiojiweza  ili kujikimu kimaisha.

Msama Promotions imetoa msaada huo kwenye vituo vya Sifa (Bunju), Zaidia (Sinza), Maunga (Mkwajuni), Honoratha (Temeke), Watoto Wetu Tanzania na Mwandaliwa (Boko).

Akizungumza na Waandishi wa Habari baaada ya kutoa msaada huo, Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Alex Msama amesema Tamasha hilo linafanya kazi yake pamoja na kuisaidia jamii isiyojiweza.

"Kama kawaida yetu Kampuni ya Msama Promotions kujali Watoto Yatima, kuwasaidia kwa kiwasomesha kuwapa mambo mbalimbali ikiwemo Chakula na Malazi", amesema Msama.

Pia, Msama ametoa wito kwa Kampuni nyingine kuwasaidia Watoto hao wasiojiweza ili kujikimu kimaisha kama ilivyo kwa Watoto wengine waliokuwa na wazazi wao.

Tamasha hilo la Kihistoria linatarajiwa kufanyika April 21, 2019 katika jiji la Dar es Salaam ambapo linatarajiwa kuzunguka mikoa 10, likiwa na lengo la kuombea Taifa pamoja na Viongozi wake akiwemo Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Mkurugenzi wa Kampuni  ya Msama Promotions , Alex Msama akijiandaa kugawa msaada wa vyakula katika vituo sita ambavyo ni Sifa (Bunju), Zaidia (Sinza), Maunga (Mkwajuni), Honoratha (Temeke), Watoto Wetu Tanzania pamoja na Mwandaliwa (Boko).
Mkurugenzi wa Kampuni  ya Msama Promotions , Alex Msama akikabidhi msaada wa vyakula kwa baadhi ya vituo vya watoto wasiojiweza,Msama ametoa msaada huo kwa vituo sita ambavyo ni Sifa (Bunju), Zaidia (Sinza), Maunga (Mkwajuni), Honoratha (Temeke), Watoto Wetu Tanzania pamoja na Mwandaliwa (Boko).
Mkurugenzi wa Kampuni  ya Msama Promotions , Alex Msama akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari mara baada ya kutoa msaada kwa vituo sita vya jijini Dar,ikiwa ni sehemu ya fedha zilizokuwa zikipatikana katika tamasha la pasaka,ambalo hufanyika kila mwaka,likianzia jijini Dar na kuendelea katika mikoa zaidi ya 10
Mkurugenzi wa Kampuni  ya Msama Promotions , Alex Msama akifurahia jambo na mmoja wa watoto mara baada ya  kutoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula  kwa vituo sita vya jijini Dar,ikiwa ni sehemu ya fedha zilizokuwa zikipatikana katika tamasha la pasaka,ambalo hufanyika kila mwaka,likianzia jijini Dar na kuendelea katika mikoa zaidi ya 10
Mara baada ya kutoa msaada wa vyakula na vitu mbalimbali,Mkurugenzi wa Kampuni  ya Msama Promotions , Alex Msama pia alipata wasaa wa kula chakula cha pamoja na baadhi ya watoto hao waishio katika mazingira magumu.


Hivyo makala MSAMA PROMOTIONS YATOA MSAADA WA VYAKULA VITUO SITA VYA YATIMA NA WASIOJIWEZA

yaani makala yote MSAMA PROMOTIONS YATOA MSAADA WA VYAKULA VITUO SITA VYA YATIMA NA WASIOJIWEZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSAMA PROMOTIONS YATOA MSAADA WA VYAKULA VITUO SITA VYA YATIMA NA WASIOJIWEZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/msama-promotions-yatoa-msaada-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MSAMA PROMOTIONS YATOA MSAADA WA VYAKULA VITUO SITA VYA YATIMA NA WASIOJIWEZA"

Post a Comment