WALIOFAULU KIDATO CHA NNE STONE TOWN INTERNALINAL SCHOOL ZANZIBAR WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI

WALIOFAULU KIDATO CHA NNE STONE TOWN INTERNALINAL SCHOOL ZANZIBAR WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WALIOFAULU KIDATO CHA NNE STONE TOWN INTERNALINAL SCHOOL ZANZIBAR WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WALIOFAULU KIDATO CHA NNE STONE TOWN INTERNALINAL SCHOOL ZANZIBAR WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI
kiungo : WALIOFAULU KIDATO CHA NNE STONE TOWN INTERNALINAL SCHOOL ZANZIBAR WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI

soma pia


WALIOFAULU KIDATO CHA NNE STONE TOWN INTERNALINAL SCHOOL ZANZIBAR WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI


Katibu Tawala Mkoa Mjini Magharibi Hamida Mussa Khamis akimkabidhi cheti mwanafunzi Rahma Juma Juma mmoja kati ya wanafunzi wawili waliopata daraja la kwanza Skuli ya Stone Town International.
Mwanafunzi Asia Juma Ali (kushoto) na Nathania Sleiman wakighani utenzi kwenye sherehe ya mahafali yakuwapongeza wanafunzi wa kitado cha nne waliomaliza Stone Town International School iliopo Kilimani Mjini Zanzibar mwaka jana.
Mkurugenzi wa Stone Town International School Bi. Jamila Gulam Hussen akisoma hutuba katika mahafali ya kidato cha nne yaliyofanyika skulini kwao Kilimani Mjini Zanzibar.
Mjumbe wa Bodi ya Ushauri Tasisi ya Elimu Zanzibar Charles Lubega akielezea umuhimu wa elimu katika mahafali ya Stone Town International School pamoja na kumkaribisha mgeni rasmi kuwahutubia wahitimu wa kidato cha nne na wanafuzi wanaoendelea na masomo.
Mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa Mjini Magharibi Hamida Mussa Khamis akizungumza na wazazi na wanafunzi wa Stone Town International School ya Kilimani katika mahafali ya kidato cha nne ya skuli hiyo.
Wahitimu wa Kidato cha Nne wa Stone Town International School wakiwa katika mahafali yao yaliowashirikisha pia wanafunzi wa darasa la sita yaliyofanyika skulini kwao Kilimani.Picha na Makame Mshenga.


Hivyo makala WALIOFAULU KIDATO CHA NNE STONE TOWN INTERNALINAL SCHOOL ZANZIBAR WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI

yaani makala yote WALIOFAULU KIDATO CHA NNE STONE TOWN INTERNALINAL SCHOOL ZANZIBAR WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WALIOFAULU KIDATO CHA NNE STONE TOWN INTERNALINAL SCHOOL ZANZIBAR WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/waliofaulu-kidato-cha-nne-stone-town.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WALIOFAULU KIDATO CHA NNE STONE TOWN INTERNALINAL SCHOOL ZANZIBAR WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI"

Post a Comment