Wabunge , Peter Lijualikali na Susan Kiwanga Wafikishwa Mahakamani

Wabunge , Peter Lijualikali na Susan Kiwanga Wafikishwa Mahakamani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wabunge , Peter Lijualikali na Susan Kiwanga Wafikishwa Mahakamani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wabunge , Peter Lijualikali na Susan Kiwanga Wafikishwa Mahakamani
kiungo : Wabunge , Peter Lijualikali na Susan Kiwanga Wafikishwa Mahakamani

soma pia


Wabunge , Peter Lijualikali na Susan Kiwanga Wafikishwa Mahakamani


 

Wabunge wawili wa Chadema, Peter Lijualikali (Kilombero) na Susan Kiwanga wa Mlimba na wenzao saba wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro baada ya kukamatwa na polisi.

Kwa mujibu wa  Kaimu Katibu wa Vijana Chadema mkoa wa Morogoro, Jackson Malisa, Wabunge hao walikamatwa Jumatano iliyopita ya Februari 20, 2019 wakiwa Kijiji cha Sofi wilaya ya Malinyi na kukaa rumande hadi leo Jumatatu Februari 25, 2019.

Bado haijafahamika wabunge hao na wenzao wana tuhuma gani, lakini wiki iliyopita Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa alisema jeshi hilo  lilikuwa linawasaka wabunge hao pamoja na wanachama 11 wa Chadema walioachiwa huru na mahakama mkoani humo Januari  2019.

Waliachiwa huru kupitia kifungu cha Sheria namba 225 cha mwenendo wa makosa ya jinai baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka yaliyokuwa yanawakabili, ikiwa ni pamoja na kuchoma moto ofisi ya Sekondari ya kijiji cha Sofi Wilaya ya Malinyi.

Mutafungwa  alisema kuwa  jeshi la Polisi hivi sasa wamejipanga kwa kuwa na ushahidi na vielelezo vya kutosha vya kuwatia hatiani watuhumiwa hao waliokuwa  wameachiwa huru na Mahakama.


Hivyo makala Wabunge , Peter Lijualikali na Susan Kiwanga Wafikishwa Mahakamani

yaani makala yote Wabunge , Peter Lijualikali na Susan Kiwanga Wafikishwa Mahakamani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wabunge , Peter Lijualikali na Susan Kiwanga Wafikishwa Mahakamani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/wabunge-peter-lijualikali-na-susan.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wabunge , Peter Lijualikali na Susan Kiwanga Wafikishwa Mahakamani"

Post a Comment