title : RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA KWA KUFUNGUA BARABARA NA KITUO CHA AFYA
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA KWA KUFUNGUA BARABARA NA KITUO CHA AFYA
RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA KWA KUFUNGUA BARABARA NA KITUO CHA AFYA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.DSk. Ali Mohamed Shein,akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la Barabara ya Kuyuni hadi Ngomeni kulia Mama Mwanamwema Shein, na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dr, Sira Ubwa Mwaboya, uzinduzi huo umefanyika leo akiwa katika ziara yake Wilaya ya Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Barabara mpya ya kiwango cha lami kutoka Kiyuni hadi Ngomeni Wilaya ya Chake Chake Pemba kulia Mke wa Rais wa Rais Mama Mwanamwema Shein, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe. Dr, Sira Ubwa Mwaboya.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali wakitembelea barabara mpya iliojengwa kwa kiwango cha lami kutoka Kuyuni hadi Ngomeni Wilaya ya Chakechake pemba akiwa katika ziara yake kutembelea miradi ya maendeleo Kisiwani Pemba leo.(Picha na Ikulu)
MUONEKANO wa barabara mpya ya kiwango cha lami kutoka kiyuni hadi ngomani Wilaya ya Chakechake Pemba.,(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, na Mama Mwanamwema Shein, wakimsikiliza Daktari Dhamani wa Wilaya ya Mkoani Pemba Dr,Mohammed Faki Saleh akitowa maerlezo kabla ya kuweka jiwe la msingi la Kituo cha Afya cha Ngomeni.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Shein, akiweka Jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake Pemba kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, na kushoto Waziri wa Ardhi Maji, Nishati na Makaazi.Mhe.Salama Aboud Talib.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mama Mwanamwema Shein, wakimsikiliza Daktari Dhamani wa Wilaya ya Mkoani Pemba Dr.Mohammed Faki Saleh, akiwa katika moja ya vyamba vya Kituo cha Afya cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake baada ya kukifungua Kituo hicho leo,25-2-2019.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembeleac Kituo cha Afya cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake Pemba baada ya kukifungua rasmin leo akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA KWA KUFUNGUA BARABARA NA KITUO CHA AFYA
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA KWA KUFUNGUA BARABARA NA KITUO CHA AFYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA KWA KUFUNGUA BARABARA NA KITUO CHA AFYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/rais-wa-zanzibar-dkt-shein-aendelea-na.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA KWA KUFUNGUA BARABARA NA KITUO CHA AFYA"
Post a Comment