VIJANA WATAKIWA KUBUNI TEKNOLOJIA ZA VIWANDANI

VIJANA WATAKIWA KUBUNI TEKNOLOJIA ZA VIWANDANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIJANA WATAKIWA KUBUNI TEKNOLOJIA ZA VIWANDANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIJANA WATAKIWA KUBUNI TEKNOLOJIA ZA VIWANDANI
kiungo : VIJANA WATAKIWA KUBUNI TEKNOLOJIA ZA VIWANDANI

soma pia


VIJANA WATAKIWA KUBUNI TEKNOLOJIA ZA VIWANDANI

Ahmed Mahmoud,Arusha.
Vijana nchini wametakiwa kubuni teknolojia Zitakazowasaidia wajasiriamali walioko kwenye viwanda vidogo vidogo ili waweze kuuongeza tija katika uzalishaji wa bidhaa bora zinazohimili ushindani wa soko .

Hayo yameelezwa na Meneja wa Shirika la kuhudumia viwanda la Sido mkoani Arusha Linah Nchimbi  alipotembelewa na Vijana kutoka Majukwaa  ya Vijana yaliyoandaliwa na shirika la INFOY ambapo amewataka vijana wa kitanzania kubuni teknolojia badala ya kuwa tegemezi kwa kutumia teknolojia kutoka mataifa ya nje jambo ambalo linawanufaisha kuliko wao.

Nchimbi alisema kuwa Sido inatoa fursa kwa vijana kufika na kutumia ubunifu wao ambao unaweza kubadilishwa na kuingia kwenye mfumo wa kibiashara hivyo kuwanufaisha.

Mratibu wa Shirika lisilokua la kiserikali La INFOY ,Bw.Laurent Sabuni aliyefanya ziara SIDO kuangalia teknolojia zilizobuniwa na wazawa huku  akiongozana na vijana kutoka katika majukwaa ya Vijana katika Wilaya ya Arusha amesema kuwa vijana wanapaswa kuwa wabunifu Na kubuni teknolojia ambazo zutasaidia taifa kusonga mbele kuelekea uchumi wa viwanda..

Sabuni alisema kuwa ziara hiyo inalenga kuhamasisha vijana kuongeza hamasa ya kushiriki katika uchumi wa viwanda kwa kutumia ubunifu na fursa zinazowazunguka. “Nchi yoyote haiwezi kuendelea kama hakuna ubunifu wa teknolojia na bidhaa mbalimbali ambazo nchi inaweza kuviuza katika masoko ya nje na kuleta faida” Alisema Sabuni

Johnson Joseph Mmoja kati ya vijana wameeleza kuwa suala la ubunifu kwa vijana linapaswa kuhimizwa na  kuhakikisha linaungwa mkono na wadau wa maendeleo kwa kutenga maeneo ya uzalishaji..

Alisema kuwa kwa sasa wameanza kujifunza kuanzisha miradi mbalimbali itakayowasaidia kujikwamua kiuchumi na kuondokana na umasikini ikiwemo ufugaji kuku,na usindikaji wa bidhaa za nafaka.
 Mratibu wa Shirika la INFOY Laurent Sabuni akifafanua jambo katika Mafunzo ya Ujasiriamali yaliyofanyika SIDO Mkoa wa Arusha
 Meneja wa SIDO mkoa wa Arusha Linah Nchimbi akitoa mada kwa vijana kutoka majukwaa ya vijana wilaya ya Arusha waliotembelea makao makuu ya SIDO mkoa wa Arusha kujifunza mambo mbalimbali.
 Baadhi ya Vijana kutoka majukwaa ya vijana Wilaya ya Arusha wakiangalia Mashine zilizotengenezwa na Wabunifu wazawa katika karakana za SIDO mkoa wa Arusha, ziara iliyoratibiwa na shirika lisilokua la kiserikali la INFOY la jijini hapa. Picha na Ahmed Mahmoud 
Vijana wakitembelea viwanda vidogo vidogo kwenye eneo la SIDO



Hivyo makala VIJANA WATAKIWA KUBUNI TEKNOLOJIA ZA VIWANDANI

yaani makala yote VIJANA WATAKIWA KUBUNI TEKNOLOJIA ZA VIWANDANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIJANA WATAKIWA KUBUNI TEKNOLOJIA ZA VIWANDANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/vijana-watakiwa-kubuni-teknolojia-za.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "VIJANA WATAKIWA KUBUNI TEKNOLOJIA ZA VIWANDANI"

Post a Comment