title : Kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi chafanyika Jijini Dodoma
kiungo : Kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi chafanyika Jijini Dodoma
Kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi chafanyika Jijini Dodoma
Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus Nyongo akifungua kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi leo Jijini Dodoma.Kushoto kwake ni Katibu Mtendaji Tume ya Madini Prof Shukrani Manya na Kulia kwake ni Mkurugenzi Ukaguzi wa Madini na Biashara ya Madini Venance Mwase na Mkurugenzi wa Ukaguzi migodi na Mazingira Dkt.Abdurahman Mwanga.
Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus Nyongo akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi leo Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Ukaguzi migodi na Mazingira Dkt.Abdurahman Mwanga akiwasilisha muhtasari wa rasimu ya mwongozo wa ufungaji migodi leo Jijini Dodoma.
Katibu Mtendaji Tume ya Madini Prof Shukrani Manya akizungumza na wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi leo Jijini Dodoma.
Washiriki wa kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi wakifuatilia majadiliano mbalimbali leo Jijini Dodoma.
Picha na Daudi Manongi,MAELEZO.
Hivyo makala Kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi chafanyika Jijini Dodoma
yaani makala yote Kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi chafanyika Jijini Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi chafanyika Jijini Dodoma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/kikao-cha-wadau-wa-sekta-ya-madini-kwa.html
0 Response to "Kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi chafanyika Jijini Dodoma"
Post a Comment