UNESCO yawakutanisha wadau kujadili mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll

UNESCO yawakutanisha wadau kujadili mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UNESCO yawakutanisha wadau kujadili mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UNESCO yawakutanisha wadau kujadili mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll
kiungo : UNESCO yawakutanisha wadau kujadili mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll

soma pia


UNESCO yawakutanisha wadau kujadili mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo(katikati) akifungua kikao cha kujadili pamoja na kupitisha mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll wenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos
 Mkuu wa Kitengo cha Elimu katika Shirika la UNESCO nchini, Faith Shayo akiwasilisha mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll kwa wadau kutoka MoEST, Wizara wa Kilimo, UNESCO, NACTE, TCCA, ATE, VETA pamoja wadau wa maendeleo  wenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam 
Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos(kushoto) akitolea ufafanuzi baadi ya vipengele vya mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll wenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo.
Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Dk. Noel Mbonde(kulia) akichangia mada wakati wa majadiliano pamoja na kupitisha mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll wenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
Ofisa mipango ya Elimu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Jennifer Kotta  akichangia mada wakati wa majadiliano pamoja na kupitisha mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll wenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau kutoka MoEST, Wizara wa Kilimo, UNESCO, NACTE, TCCA, ATE, VETA pamoja wadau wa maendeleo wakichangia mada wakati wa kujadili mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll wenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Elimu katika Shirika la UNESCO nchini, Faith Shayo akijibu maswali ya  wadau wakati wa kujadili mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll wenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
Majadiliano yakiendelea
Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo  akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki kutoka MoEST, Wizara wa Kilimo, UNESCO, NACTE, TCCA, ATE, VETA pamoja wadau wa maendeleo wakati wa kikao cha kujadili pamoja na kupitisha mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll wenye lengo la kuleta elimu bora kwa mataifa ya Afrika kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala UNESCO yawakutanisha wadau kujadili mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll

yaani makala yote UNESCO yawakutanisha wadau kujadili mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UNESCO yawakutanisha wadau kujadili mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/unesco-yawakutanisha-wadau-kujadili.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UNESCO yawakutanisha wadau kujadili mpango mkakati wa mradi wa BEAR ll"

Post a Comment