title : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA VIONGOZI CHAMA CHA WAMILIKI WA MAKAMPUNI YA KITALII TANZANIA
kiungo : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA VIONGOZI CHAMA CHA WAMILIKI WA MAKAMPUNI YA KITALII TANZANIA
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA VIONGOZI CHAMA CHA WAMILIKI WA MAKAMPUNI YA KITALII TANZANIA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na viongozi kutoka Chama cha wamiliki wa Makampuni ya kitalii Tanzania walipomtembelea leo tarehe 7 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mjumbe Bodi ya wadhamini Chama cha wamiliki wa Makampuni ya kitalii Tanzania, Ndg. Merywn Nunes (katikati) walipomtembelea leo tarehe 7 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Makamu Mwenyekiti Chama cha wamiliki wa Makampuni ya kitalii Tanzania, Ndg. Henry kimambo
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa tatu kushoto) akimsikiliza Mhe. Immaculate Semesi (aliesimama) wakati walipokutana na viongozi Chama cha wamiliki wa Makampuni ya kitalii Tanzania leo tarehe 7 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) katika picha ya pamoja na Mjumbe Bodi ya wadhamini Chama cha wamiliki wa Makampuni ya kitalii Tanzania, Ndg. Merywn Nunes alipomtembelea leo tarehe 7 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (mwenye tai) katika picha ya pamoja na viongozi kutoka Chama cha wamiliki wa Makampuni ya kitalii Tanzania walipomtembelea leo tarehe 7 Februari, 2019 ofisini kwke Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA VIONGOZI CHAMA CHA WAMILIKI WA MAKAMPUNI YA KITALII TANZANIA
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKUTANA NA VIONGOZI CHAMA CHA WAMILIKI WA MAKAMPUNI YA KITALII TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA VIONGOZI CHAMA CHA WAMILIKI WA MAKAMPUNI YA KITALII TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/spika-ndugai-akutana-na-viongozi-chama.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AKUTANA NA VIONGOZI CHAMA CHA WAMILIKI WA MAKAMPUNI YA KITALII TANZANIA"
Post a Comment