title : KAMATI YA BAJETI YAKUTANA NA WIZARA MBALIMBALI KWA AJILI YA MUSWADA MPYA
kiungo : KAMATI YA BAJETI YAKUTANA NA WIZARA MBALIMBALI KWA AJILI YA MUSWADA MPYA
KAMATI YA BAJETI YAKUTANA NA WIZARA MBALIMBALI KWA AJILI YA MUSWADA MPYA
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti Mheshimiwa George Simbachawene akichangia jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokutana na Waziri wa Fedha na Mipango, Waziri wa Madini, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kupokea na kujadili muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali Na.2 wa mwaka 2019 hii leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Picha na Ofisi ya Bunge.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo ilipokutana na Waziri wa Fedha na Mipango, Waziri wa Madini, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kupokea na kujadili muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali Na.2 wa mwaka 2019 hii leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Picha na Ofisi ya Bunge.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango (katikati), akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Bunge ya Bajeti katika ilipokutana na Waziri huyo, Waziri wa Madini, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kupokea na kujadili muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali Na.2 wa mwaka 2019 hii leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Picha na Ofisi ya Bunge.
Hivyo makala KAMATI YA BAJETI YAKUTANA NA WIZARA MBALIMBALI KWA AJILI YA MUSWADA MPYA
yaani makala yote KAMATI YA BAJETI YAKUTANA NA WIZARA MBALIMBALI KWA AJILI YA MUSWADA MPYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BAJETI YAKUTANA NA WIZARA MBALIMBALI KWA AJILI YA MUSWADA MPYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/kamati-ya-bajeti-yakutana-na-wizara.html
0 Response to "KAMATI YA BAJETI YAKUTANA NA WIZARA MBALIMBALI KWA AJILI YA MUSWADA MPYA"
Post a Comment