title : SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ETHIOPIA NCHINI
kiungo : SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ETHIOPIA NCHINI
SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ETHIOPIA NCHINI
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Ethiopia nchini Mhe. Yonas Yosef Sanbe alipomtembelea leo tarehe 1 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Afisa Mwandamizi Ubalozi wa Ethiopia nchini Ndg. Tewodros Girma alipomtembelea leo tarehe 1 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni Balozi wa Ethiopia nchini Mhe. Yonas Yosef Sanbe
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akifurahi jambo na Balozi wa Ethiopia nchini, Mhe. Yonas Yosef Sanbe (katikati) alipomtembelea leo tarehe 1 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Afisa Mwandamizi Ubalozi wa Ethiopia nchini Ndg. Tewodros Girma
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Ethiopia nchini Mhe. Yonas Yosef Sanbe (katikati) alipomtembelea leo tarehe 31 Januari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Afisa Mwandamizi Ubalozi wa Ethiopia nchini, Ndg. Tewodros Girma
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ethiopia nchini Mhe. Yonas Yosef Sanbe alipomtembelea leo tarehe 1 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ethiopia nchini Ndg. Yonas Yosef Sanbe (wa pili kushoto) alipomtembelea leo tarehe 1 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu wa Spika wa Bunge, Ndg. Said Yakubu na kulia ni Afisa Mwandamizi Ubalozi wa Ethiopia nchini, Ndg. Tewodros Girma
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ETHIOPIA NCHINI
yaani makala yote SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ETHIOPIA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ETHIOPIA NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/spika-job-ndugai-akutana-na-kufanya.html
0 Response to "SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ETHIOPIA NCHINI"
Post a Comment