SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WATU TISA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KUTUMBUKIA MTONI

SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WATU TISA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KUTUMBUKIA MTONI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WATU TISA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KUTUMBUKIA MTONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WATU TISA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KUTUMBUKIA MTONI
kiungo : SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WATU TISA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KUTUMBUKIA MTONI

soma pia


SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WATU TISA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KUTUMBUKIA MTONI


Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angela Mabula aongoza uagaji wa miili tisa (9) ya watumishi wa serikali pamoja na mfanya mfanyakazi mmoja wa Shirika la Plan International Morogoro.

Miili hiyo ya watumishi wa serikali kutoka wizara ya ardhi sambamba na mfanyakazi mmoja wa Shirika la Plan International imeagwa katika eneo la uwanja wa Tangani maarufu uwanja waTaifa Ifakara na kushuhudiwa na wananchi mbalimbali sambamba na viongozi wa Kitaifa ikiwemo Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Wakuu wa Wilaya za kilombero, Malinyi pamoja na Ulanga ambapo katika msiba huo mratibu wa mradi wa Land Ternual Supporting Program (LTSP)Godfrey Machabe akasoma wosia wa watumishi hao na kubainisha umuhimu wa kazi waliokua wakifanya. Naibu Waziri wa Ardhi akibainisha serikali kugharamia shughuli zote za mazishi ambapo mpaka sasa serikali imeshatumia shilingi milioni 96 katika kuratibu.

Naibu Waziri Mabula amesema serikali itagharamia shughuli zote za mazishi ambapo mpaka sasa na kudai kuwa hadi kufikia hatua ya kuaga wametumia shilingi milioni 96 katika kuratibu.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt.Kebwe Steven kebwe amewaomba wananchi kuwa watulivu na kuvitaka vyombo husika kufuatilia kwa makini na kujua chanzo cha ajali na kutenda haki inayohitajika.

 Naibu Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angela Mabula akiwa na kamati ya Ulinzi ya Mkoa wa Morogoro wakati ya uagaji wa Miili Tisa ya watumishi wa Wizara ya Ardhi waliofariki katika ajali ya gari kutumbukia katika mto Ifakara.

 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angela Mabula akizungumza katika uagaji wa Miili Tisa ya wafanyakazi waliopata ajali ya gari kutumbukia Mtoni
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt Kebwe Steven Kebwe akizungumza katika uagaji wa Miili Tisa ya wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi waliotumbukia  Mtoni.


 
 
 Waombolezaji katika uagaji wa Miili Tisa ya wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi.


Hivyo makala SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WATU TISA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KUTUMBUKIA MTONI

yaani makala yote SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WATU TISA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KUTUMBUKIA MTONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WATU TISA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KUTUMBUKIA MTONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/serikali-kugharamia-mazishi-ya-watu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WATU TISA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KUTUMBUKIA MTONI"

Post a Comment