RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA WANACHAMA CCM WILAYA YA MJINI UKUMBI WA AMANI MKOA

RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA WANACHAMA CCM WILAYA YA MJINI UKUMBI WA AMANI MKOA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA WANACHAMA CCM WILAYA YA MJINI UKUMBI WA AMANI MKOA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA WANACHAMA CCM WILAYA YA MJINI UKUMBI WA AMANI MKOA
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA WANACHAMA CCM WILAYA YA MJINI UKUMBI WA AMANI MKOA

soma pia


RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA WANACHAMA CCM WILAYA YA MJINI UKUMBI WA AMANI MKOA

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, na kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Talib Ali TRalib, wakiwa wamesimama wakipiga makofi baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani , kuzungumza na Wana CCM wa Wilaya ya Mjini akiwa katika ziara yake leo.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na WanaCCM wa Mkoa wa Mjini waki wa ziara yake, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi na kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali Talib.(Picha na Ikulu)
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi akizungumza wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika Wilaya ya Mjini kabla ya kumkaribisha kuzungumza na Wana CCM wa Mkoa wa Mjini katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekitiu wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi, wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Afisi Kuu ya Mkoa wa Mjini Amani wakati wa mkutano wake na Wanachama wa CCM Mkoa wa Mjini, akiwa katika ziara yale leo(Picha na Ikulu)
 KATIBU Mkuu wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg Mohammed Omar Nyawanga, akitowa Taarifa ya utekelezaji ya CCM Mkoa wa Mjini wakati wa Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara yake Wilaya ya Mjini leo.(Picha na Ikulu)


 MBUNGE wa Jimbo la Amani Zanzibar Mhe. Mwalim Mussa Hassan Mussa akizungumza na kutowa neno la shukrani kwa niaba ya Wanachama wa CCM Mkoa wa Mjini, wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein. uliofanyika ukumbi wa mkutano wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar.(Picha na Ikulu)

 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi  ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi na kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Bi. Leila Burhan Ngozi.(Picha na Ikulu)


Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA WANACHAMA CCM WILAYA YA MJINI UKUMBI WA AMANI MKOA

yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA WANACHAMA CCM WILAYA YA MJINI UKUMBI WA AMANI MKOA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA WANACHAMA CCM WILAYA YA MJINI UKUMBI WA AMANI MKOA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/rais-wa-zanzibar-na-makamu-mwenyekiti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA WANACHAMA CCM WILAYA YA MJINI UKUMBI WA AMANI MKOA"

Post a Comment