RAIS DKT.SHEIN AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA

RAIS DKT.SHEIN AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT.SHEIN AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT.SHEIN AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA
kiungo : RAIS DKT.SHEIN AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA

soma pia


RAIS DKT.SHEIN AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Bi, Maryam Juma, Mabodi akitowa taarifa ya kitaalam wakati wa ziara yake kukagua shimo la uchimbaji wa Mchanga la Pangatupu na Chechele Wilaya ya Kaskazini B Unguja leo.kushoto kwa Katibu Waziri wa Ujenzi Mawasiliani na Usafirishaji Mhe.Dr, Sira Ubwa Mwamboya.
  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa ziara yake kutembelea bonde la mchanga la Pangatupu na Chechele Wilaya ya Kaskaszini B Unguja leo, kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, na kushoto Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Bi. Maryam Juma Mabodi, Wasili wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dr. Sira Ubwa Mwaboya na Waziri wa Ardhi,Maji Nishati na Makaazi Mhe. Salama Aboud Talib, wakifuatilia hafla hiyo.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakitembelea Bonge la machimbo ya mchanga la Pangatupu Wilaya ya Kaskazini B Unguja wakati wa ziara yake kukagua eneo hilo la uchimbaji akiwa katika ziara yake, katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Vuai Mwinyi, wakati akiwa katika ziara yake kutembelea mashimo ya uchimbaji wa mchanga katika maeneo ya Pangatupu na Chechele Wilaya ya Kaskazini B Unguja, leo muonekano wa nyuma ni eneo hilo lililokuwa likichimbwa mchanga na kusimamisha uchimbaji wa mchana.katikati Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri. 
MBUNGE Mstaaf wa Jimbo la Donge Ali Ameir Mohammed akiwa na Viongozi wa Serikali na Chama wakati wa mkutano wa Majumuisho ya  ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,katika Wilaya ya Kaskazini B Unguja, yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Sea Cliff,(Picha na Ikulu)
 ENEO la Panga Tupu na Chechele Jimbo la Bumbwini Shehia ya Kidazini, lililosimamisha shughuli za uchimbaji wa mchanga, kama linavyoonekana picha wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Kaskazini  B Unguja leo, kujionea hali hiyo.(Picha na Ikulu).
 BAADHI ya Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar wakiwa katika hafla ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, alipotembelea mashimo ya Uchimbaji wa Mchanga katika maeneo Pangatupu na Chechele Wilaya ya Kaskazini B Unguja leo,akiwa katika ziara yake.
 BAADHI ya Vijana wanaofanya shughuli zao katika mashimo ya mchanga ya Panatupu na Chechele wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, alipotembelea eneo hilo akiwa katika ziara yake katiuka Wilaya ya Kaskazini B Unguja leo.


Hivyo makala RAIS DKT.SHEIN AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA

yaani makala yote RAIS DKT.SHEIN AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT.SHEIN AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/rais-dktshein-amaliza-ziara-yake-mkoa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DKT.SHEIN AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA"

Post a Comment