title : MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO
kiungo : MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO
MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO
Mwambawahabari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye moja ya madarasa katika Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa iliyopo kwenye Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, Februari 18, 2019. Wapili kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua madaftari ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa wakati alipotembelea baadhi ya madarasa ya Shule hiyo, Februari 18, 2019. Wapili kushoto ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiteta na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa, Joyce Ndalichako wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipotembelea Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, Februari 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watoto wa Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa wakati alipokagua madarasa ya Shule hiyo katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, Februari 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO
yaani makala yote MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/majaliwa-atembelea-kambi-ya-wakimbizi.html
0 Response to "MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO"
Post a Comment