RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WA KAWAIDA WA 20 WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA

RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WA KAWAIDA WA 20 WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WA KAWAIDA WA 20 WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WA KAWAIDA WA 20 WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WA KAWAIDA WA 20 WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WA KAWAIDA WA 20 WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Liberat  Mfumukeko na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Burundi Mhe. Gaston Sindimo alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudani ya Kusini Mhe. Barnaba Marial Benjamin akiwa na Balozi wa Nchi hiyo nchini Mhe. Mariano Deng Ngor wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
 Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akilakiwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Liberat Mfumukeko na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) muda mfupi kabla ya kuanza kwa  Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kabla ya kuanza kwa  Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
 Rais wa Uganda Mhe. Yowweri Kaguta Museveni akilakiwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Liberat Mfumukeko na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
Sehemu ya Ujumbe wa Tanzania katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) wakihudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019. Picha na IKULU


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WA KAWAIDA WA 20 WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WA KAWAIDA WA 20 WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WA KAWAIDA WA 20 WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/rais-dkt-magufuli-ahudhuria-mkutano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WA KAWAIDA WA 20 WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA"

Post a Comment