title : RAIA WA ETHIOPIA AHUKUMIWA KIFUNGO MIAKA MIWILI JELA TABORA
kiungo : RAIA WA ETHIOPIA AHUKUMIWA KIFUNGO MIAKA MIWILI JELA TABORA
RAIA WA ETHIOPIA AHUKUMIWA KIFUNGO MIAKA MIWILI JELA TABORA
Na Amisa Mussa
Mahakama Ya Hakimu Mkazi Mkoa Wa Tabora Imemuhukumu Kutumikia Kifungo Cha Miaka Miwili Jela Au Kulipa Faini Ya Shilingi Laki Tano Raia Wa Ethiopia Anayefahamika Kwa Jina La Gashahuni Degu Mwenye Umri Wa Miaka 21 Baada Ya Kupatikana Na Hatia Ya Kuingia Nchini Bila Kibali Halali Kinyume Cha Sheria Ya Uhamiaji Sura Ya 54 Iliyofanyiwa Marejeo Mwaka 2016.
Mwendesha Mashitaka Upande Wa Idara Ya Uhamiaji Octavian Kilatu Akisoma Maelezo Ya Kosa Ameieleza Mahakama Kuwa Mtuhumiwa Gashahuni Alikamatwa Tarehe 21 Februari Mwaka Huu Stend Kuu Ya Mabasi Mjini Tabora Akisafiri Kutoka Mkoani Mara Kuelekea Mbeya Hadi Afrika Ya Kusini Mahali Ambako Alieleza Alikuwa Anakwenda Kutafuta Ajira.
Aidha Kutokana Na Hukumu Iliyotolewa Na Hakimu Mkazi Mkoa Wa Tabora Jocktan Rushwela Ilifanya Raia Huyo Wa Kigeni Gashahuni Degu Kuangua Kilio Hadharani Katika Viwanja Vya Mahakama Akidai Kuomba Msamaha.
Hivyo makala RAIA WA ETHIOPIA AHUKUMIWA KIFUNGO MIAKA MIWILI JELA TABORA
yaani makala yote RAIA WA ETHIOPIA AHUKUMIWA KIFUNGO MIAKA MIWILI JELA TABORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIA WA ETHIOPIA AHUKUMIWA KIFUNGO MIAKA MIWILI JELA TABORA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/raia-wa-ethiopia-ahukumiwa-kifungo.html
0 Response to "RAIA WA ETHIOPIA AHUKUMIWA KIFUNGO MIAKA MIWILI JELA TABORA"
Post a Comment