MTENDAJI MKUU TEMESA ZIARANI MIKOA YA IRINGA, NJOMBE, MBEYA, RUKWA NA KATAVI - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTENDAJI MKUU TEMESA ZIARANI MIKOA YA IRINGA, NJOMBE, MBEYA, RUKWA NA KATAVI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
MTENDAJI MKUU TEMESA ZIARANI MIKOA YA IRINGA, NJOMBE, MBEYA, RUKWA NA KATAVIkiungo :
MTENDAJI MKUU TEMESA ZIARANI MIKOA YA IRINGA, NJOMBE, MBEYA, RUKWA NA KATAVI
soma pia
MTENDAJI MKUU TEMESA ZIARANI MIKOA YA IRINGA, NJOMBE, MBEYA, RUKWA NA KATAVI
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle kulia akikagua mojawapo ya mashine iliyopo katika karakana ya wakala huo mkoa wa Njombe wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi, kushoto ni Kaimu Meneja wa Temesa Mkoa wa Njombe Mhandisi Saidi Mawazo.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle katikati akiichunguza mashine ya kuchongea vipuri vya mitambo mbalimbali wakati akikagua chumba cha kuhifadhia mashine hizo katika karakana ya mkoa wa Mbeya. Kulia ni Meneja wa TEMESA mkoani humo Mhandisi Sunday Kyungai.
Meneja wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mkoa wa Katavi Mhandisi Stembrige Rushatila katikati akimuonyesha Mtendaji Mkuu wa Wakala huo Mhandisi Japhet Y. Maselle kushoto eneo la karakana wanapotegemea kupaboresha ili kuongeza uzalishaji wakati wa ziara ya mtendaji mkuu kukagua miundombinu ya karakana za wakala.
Meneja wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mkoa wa Iringa Mhandisi Ian Makule kulia akimuonyesha Mtendaji Mkuu wa Wakala huo Mhandisi Japhet Y. Maselle mashine ya kisasa ya kutoa na kubadilishia matairi ya magari iliyopo katika karakana ya mkoa huo.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle katikati akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TEMESA mkoa wa Iringa mara baada kuzungumza nao na kusikiliza changamoto wanazokutana nazo katika utendaji kazi. Kulia kwake ni Meneja wa TEMESA Mkoani humo Mhandisi Ian Makule.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle akitoa msisitizo wakati akizungumza na wafanyakazi wa wakala huo mkoani Rukwa alipokua ziarani kukagua utendaji kazi. Pembeni yake ni Meneja wa Mkoa huo Mhandisi Fidol Tumbi.PICHA ZOTE NA ALFRED MGWENO - (TEMESA)
|
Posted: 24 Feb 2019 11:30 AM PST
Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma Bw.Meshach Bandawe akionesha hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa tenki la maji ndani ya mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mji wa Serikali.
Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma Bw.Meshach Bandawe akionesha hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati linalojengwa ndani ya mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma wakati wa ziara yakukagua maendeleo ya ujenzi wa mji wa Serikali.
Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma Bw.Meshach Bandawe akionesha hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa jengo la Wizara ya Fedha na Mipango linalojengwa ndani ya mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma wakati wa ziara yakukagua maendeleo ya ujenzi wa mji wa Serikali.
Muonekano wa hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa jengo la Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora katika mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma.
Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma Bw.Meshach Bandawe akiongea na mafundi katika jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais linalojengwa ndani ya mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma wakati wa ziara yakukagua maendeleo ya ujenzi wa mji wa Serikali.
Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma Bw.Meshach Bandawe akiongea na Mkandarasi na Mshitiri katika jengo la Wizara ya Kilimo linalojengwa ndani ya mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma
|
Hivyo makala MTENDAJI MKUU TEMESA ZIARANI MIKOA YA IRINGA, NJOMBE, MBEYA, RUKWA NA KATAVI
yaani makala yote MTENDAJI MKUU TEMESA ZIARANI MIKOA YA IRINGA, NJOMBE, MBEYA, RUKWA NA KATAVI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MTENDAJI MKUU TEMESA ZIARANI MIKOA YA IRINGA, NJOMBE, MBEYA, RUKWA NA KATAVI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mtendaji-mkuu-temesa-ziarani-mikoa-ya_24.html
0 Response to "MTENDAJI MKUU TEMESA ZIARANI MIKOA YA IRINGA, NJOMBE, MBEYA, RUKWA NA KATAVI"
Post a Comment