Mkazi wa Keko na mkewe wavuna milioni 10 za Biko

Mkazi wa Keko na mkewe wavuna milioni 10 za Biko - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkazi wa Keko na mkewe wavuna milioni 10 za Biko, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkazi wa Keko na mkewe wavuna milioni 10 za Biko
kiungo : Mkazi wa Keko na mkewe wavuna milioni 10 za Biko

soma pia


Mkazi wa Keko na mkewe wavuna milioni 10 za Biko

Na Ripota Wetu, Dar es Salaam.
 
Mkazi wa Keko jijini Dar es Salaam, Yusuph Julla, ameibuka na ushindi wa sh milioni 10 kutoka kwenye bahati nasibu ya biko, huku akimchagua mke wake Mwanaidi Salumu kuwa mpendanao wake kutokea kwenye vuna fedha za wapendao.

Makabidhiano hayo yamefanyika jijini Dar es Salaam, kwa kuwakabidhi chao wapendanao hao wenye maskani yao Keko wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam ili waendelee na harakati zao za kimaisha.

Akizungumza katika makabidhiano hayo, Julla aliishukuru Biko kwa kumpatia fedha zake mapema akisema kuwa fedha hizo zitawanufaisha yeye na mkewe kwenye familia yao hiyo.

Kucheza Biko sasa ni kuanzia sh 500 na sh 1000 na kuendelea, huku ushindi wake ukianzia sh 1000 hadi sh 100000 kwa watakaocheza sh 500 hadi sh 9500 wakati  watakaocheza kwa sh 1000 na kuendelea, mchezaji anaweza kujishindia zawadi ya papo kwa hapo kuanzia sh 5000 hadi sh milioni moja bila kusahau wote kuingia kwenye droo kubwa ya Jumatano na Jumapili.

Bahati nasibu ya Biko inachezwa kwa mitandao ya simu minne ambayo ni Tigo Pesa, M-Pesa, Artel Money na HaloPesa, ambapo namba ya Kampuni ni 505050 na kumbukumbu namba 2456, huku Watanzania wakiweza kujishindia zawadi kubwa katika droo ya Jumatano na Jumapili.
 Mshindi wa sh milioni 10 kutoka Bahati nasibu ya Biko, Yusuph Julla, akiwa na mkewe baada ya kukabidhiwa fedha zake za ushindi kutoka kwenye bahati nasibu hiyo huku Julla akimtaja mkewe Mwanaidi Salimu kuwa mpendanao wake hivyo kugawana fedha hizo kwa pamoja kwa ajili ya kufanyia mambo ya kimaendeleo. Biko inachezwa kwa njia ya ujumbe wa maandishi huku washindi wa droo kubwa wakipatikana Jumatano na Jumapili pamoja na zawadi za papo kwa hapo.

 


Hivyo makala Mkazi wa Keko na mkewe wavuna milioni 10 za Biko

yaani makala yote Mkazi wa Keko na mkewe wavuna milioni 10 za Biko Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkazi wa Keko na mkewe wavuna milioni 10 za Biko mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mkazi-wa-keko-na-mkewe-wavuna-milioni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkazi wa Keko na mkewe wavuna milioni 10 za Biko"

Post a Comment