MKATABA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA KIPYA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA, MOSHI WASAINIWA JIJINI DAR LEO

MKATABA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA KIPYA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA, MOSHI WASAINIWA JIJINI DAR LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKATABA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA KIPYA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA, MOSHI WASAINIWA JIJINI DAR LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKATABA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA KIPYA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA, MOSHI WASAINIWA JIJINI DAR LEO
kiungo : MKATABA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA KIPYA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA, MOSHI WASAINIWA JIJINI DAR LEO

soma pia


MKATABA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA KIPYA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA, MOSHI WASAINIWA JIJINI DAR LEO

Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSSSF, Eliud Sanga (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa TIRDO (waliosimama) wakishuhudia utiwaji saini wa Mkataba wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa Kiwanda kipya cha bidhaa za ngozi cha Karanga, kilichopo mjini Moshi, uliosainiwa kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya viatu ya Karanga, Mhandisi Masoud Omari (katikati) na Mwakilishi wa Kampuni ya Italia ya ITALPROGETTI, Sergio Dani (kulia), leo februari 8, 2019 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa PSSSF jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya viatu ya Karanga, Mhandisi Masoud Omari (katikati) akibadilishana Mikataba ya utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa Kiwanda kipya cha bidhaa za ngozi cha Karanga, mjini Moshi na Mwakilishi wa Kampuni ya Italia ya ITALPROGETTI, Sergio Dani (kulia) leo februari 8, 2019 jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSSSF, Eliud Sanga (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa TIRDO (waliosimama) wakishuhudia utiwaji saini wa Mkataba wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa Kiwanda kipya cha bidhaa za ngozi cha Karanga, kilichopo mjini Moshi, uliosainiwa kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya viatu ya Karanga, Mhandisi Masoud Omari (katikati) na Mwakilishi wa Mwakilishi wa Kampuni ya Italia ya TMC, Danielle Feradini. (kulia), leo februari 8, 2019 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa PSSSF jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSSSF, Eliud Sanga akizungumza wakati wa hafla hiyo ya utiwaji saini wa Mkataba wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa Kiwanda kipya cha bidhaa za ngozi cha Karanga, kilichopo mjini Moshi, iliyofanyika leo februari 8, 2019 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa PSSSF jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike akizungumza kabla ya hafla ya utianaji saini Mkataba huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSSSF, Eliud Sanga akiteta jambo na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike, wakati wa wakati wa hafla hiyo ya utiwaji saini wa Mkataba wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa Kiwanda kipya cha bidhaa za ngozi cha Karanga, kilichopo mjini Moshi, iliyofanyika leo februari 8, 2019 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa PSSSF jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maafisa wa Jeshi la Magereza waliohudhulia hafla hiyo.
Baadhi ya Maafisa wa Mfuko wa PSSSF na Wajumbe wa Bodi ya Karanga.
Meza kuu.


Picha ya pamoja.



Hivyo makala MKATABA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA KIPYA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA, MOSHI WASAINIWA JIJINI DAR LEO

yaani makala yote MKATABA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA KIPYA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA, MOSHI WASAINIWA JIJINI DAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKATABA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA KIPYA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA, MOSHI WASAINIWA JIJINI DAR LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mkataba-wa-utekelezaji-wa-mradi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKATABA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA KIPYA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA, MOSHI WASAINIWA JIJINI DAR LEO"

Post a Comment