Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania.
kiungo : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania.

soma pia


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania.

Balozi wa Jamuhuri ya Cuba Nchini Tnaznia Profesa Lucas Domingo kati kati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Osterbay Mjini Dar es salaam.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  Kulia akitilia mkazo umuhimu wa Tanzania kuendelea kushirikiana na Jamuhuri ya Cuba wakati alipokuwa akizungumza na Balozi wa Nchi hiyo Nchini Tanzania Profesa Lucas Domingo.

Picha na – OMPR – ZNZ.
Na.Othman Khamis. OMPR. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alikutana kwa mazungumzo na Balozi wa Jamuhuri ya Cuba Nchini Tanzania Profesa Lucas Domingo nyumbani kwake Mtaa wa Osterbay Mjini Dar es salaam.
Katika mazungumao yao Viongozi hao waligusia uhusiano na ushirikiano wa muda mrefu uliopo kati ya Cuba na Zanzibar na Tanzania kwa Jumla uliolenga zaidi katika Sekta za Uwekezaji za Afya, Kilimo pamoja na Elimu.


Hivyo makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania.

yaani makala yote Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-zanzibar_21.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania."

Post a Comment