title : Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar
kiungo : Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar
Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar
Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mafunzo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi ya Mwaka 2019/2020 yaliofanyika Chuo cha Karume Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mayasa Mahfudha Mwinyi akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mafunzo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi ya Mwaka 2019/2020 yaliofanyika Chuo cha Karume Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Baadhi ya Washiriki (WADADISI)wa mafunzo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi ya Mwaka 2019/2020 wakimsikiliza mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mafunzo hayo yaliofanyika Chuo cha Karume Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar
yaani makala yote Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mafunzo-ya-utafiti-wa-mapato-na_6.html
0 Response to "Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar"
Post a Comment