title : MADEBE AKANA KUWA MCHEKESHAJI BORA WA MWAKA
kiungo : MADEBE AKANA KUWA MCHEKESHAJI BORA WA MWAKA
MADEBE AKANA KUWA MCHEKESHAJI BORA WA MWAKA
Na Khadija Seif,Globu ya Jamii
MSANII wa tasnia ya filamu nchini Madebe Lidai amesema kuibuka mshindi wa tuzo ya mchekeshaji bora wa mwaka sio yeye ndio bora kwani wachekeshaji wengi na wana majina katika fani hiyo.
Kumekuwa na minong'ono mingi juu Madebe kuibuka mshindi katika tuzo ya wa uchekeshaji bora kwa mwaka jana.
Madebe amesema kuwa kupewa tuzo hiyo aliokuwa akishindanishwa na Msanii Mohammed a.k.a Mau Mafundi pamoja na Hassan Kazoa amesema haya kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram.
"Kikubwa ni kwamba mimi sio mchekeshaji ila nilithubutu kufanya uchekeshaji katika filamu yangu ya Mama mwali ili kuonesha utofauti katika sanaa niliyonayo ambapo leo nimeshinda sina maneno mengi namshukuru Mungu na wenzangu wasikate tamaa," amesema Lidai
Hata hivyo amewaomba radhi mashabiki zake kwa kilichotokea na kusema anasubiri uchambuzi wa Pofesa Martine Mhando ili aweze kufanya ufafanuzi kupitia uchambuzi huo.
Pia ametoa wito wakati wa kupokea tuzo hiyo kwa wasanii wa kibongo kuona tuzo hiyo kama chachu ya kutengeneza kazi nzuri zenye manufaa Kwa taifa kwa ujumla na zenye mafundisho kwa jamii kwani mambo yapo mengi katika tunayoishi na kuacha.
"Tutambue nafasi tulionayo ni kubwa hivyo lazima tuitumie katika kuelimisha jamii kwani matatizo yaliyopo wasanii yanatuhusu kupaza sauti zetu katika kujenga"amesema Madebe.
Hivyo makala MADEBE AKANA KUWA MCHEKESHAJI BORA WA MWAKA
yaani makala yote MADEBE AKANA KUWA MCHEKESHAJI BORA WA MWAKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MADEBE AKANA KUWA MCHEKESHAJI BORA WA MWAKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/madebe-akana-kuwa-mchekeshaji-bora-wa.html
0 Response to "MADEBE AKANA KUWA MCHEKESHAJI BORA WA MWAKA"
Post a Comment