title : Kutoka Bungeni Jijini Dodoma Kuahirishwa Kwa Bunge.
kiungo : Kutoka Bungeni Jijini Dodoma Kuahirishwa Kwa Bunge.
Kutoka Bungeni Jijini Dodoma Kuahirishwa Kwa Bunge.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim .Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika ukumbi Jijini Dodoma baada ya kukamilika shughuli za Mkutano huo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akijadili jambo na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angela Kairuki, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na baadhi ya wabunge baada ya kumaliza hotuba yeke ya kuahirisha mkutano wa Bunge jijini Dodoma, Februari 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na baadhi ya wabunge baada ya kumaliza hotuba yeke ya kuahirisha mkutano wa Bunge jijini Dodoma, Februari 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Kutoka Bungeni Jijini Dodoma Kuahirishwa Kwa Bunge.
yaani makala yote Kutoka Bungeni Jijini Dodoma Kuahirishwa Kwa Bunge. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kutoka Bungeni Jijini Dodoma Kuahirishwa Kwa Bunge. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/kutoka-bungeni-jijini-dodoma_10.html
0 Response to "Kutoka Bungeni Jijini Dodoma Kuahirishwa Kwa Bunge."
Post a Comment