KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI, MEJA JENERALI JACOB KINGU AKAGUA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA MAAFISA MAGEREZA

KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI, MEJA JENERALI JACOB KINGU AKAGUA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA MAAFISA MAGEREZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI, MEJA JENERALI JACOB KINGU AKAGUA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA MAAFISA MAGEREZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI, MEJA JENERALI JACOB KINGU AKAGUA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA MAAFISA MAGEREZA
kiungo : KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI, MEJA JENERALI JACOB KINGU AKAGUA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA MAAFISA MAGEREZA

soma pia


KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI, MEJA JENERALI JACOB KINGU AKAGUA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA MAAFISA MAGEREZA


Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (vazi la kiraia) akisalimiana na Maafisa wa Jeshi la Magereza alipowasili Gereza Kuu Ukonga leo februari 5, 2019 katika ziara yake ya kikazi yenye lengo la ukaguzi wa ujenzi wa makazi ya Maafisa Magereza unaotekelezwa chini ya Wakala wa Majengo Tanzania – TBA katika eneo la Gereza Kuu Ukonga jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (wa tatu toka kulia) akitoa maagizo kwa Mratibu wa Mradi wa ujenzi wa Makazi ya Maafisa Magereza Ukonga, Mhandisi Khadija Salum(wa tatu toka kushoto) alipotembelea mradi huo leo februari 5, 2019. Kulia ni Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike.
Moja ya majengo ya ghorofa yanayojengwa chini ya Wakala wa Majengo Tanzania – TBA.
Mkuu wa Kiwanda cha Gereza Kuu Ukonga, ACP. John Itambu akimuongoza Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (vazi la kiraia) sehemu mbalimbali za Kiwanda hicho ikiwemo sehemu ya Useremala pamoja na sehemu ya Ushonaji wa nguo za aina mbalimbali katika Kiwanda hicho(kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (vazi la kiraia) akiangalia baadhi ya samani za Ofisi zinazotengenezwa katika Kiwanda hicho.
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, Phaustine Kasike akimwelezea jambo Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (vazi la kiraia) alipote,mblea Kiwanda cha Useremala cha Gereza Kuu Ukonga.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (vazi la kiraia) akiagana na Mkuu wa Gereza Kuu Ukonga, ACP. Widson Mwanangwa baada ya kutembelea Kiwanda cha Magereza, Ukonga leo Februari 5, 2019(Picha na Jeshi la Magereza).


Hivyo makala KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI, MEJA JENERALI JACOB KINGU AKAGUA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA MAAFISA MAGEREZA

yaani makala yote KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI, MEJA JENERALI JACOB KINGU AKAGUA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA MAAFISA MAGEREZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI, MEJA JENERALI JACOB KINGU AKAGUA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA MAAFISA MAGEREZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/katibu-mkuu-mambo-ya-ndani-ya-nchi-meja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI, MEJA JENERALI JACOB KINGU AKAGUA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA MAAFISA MAGEREZA"

Post a Comment