JUVENTUS WATENGA PAUNI MILIONI 175 KUMSAJILI MOHAMED SALAH

JUVENTUS WATENGA PAUNI MILIONI 175 KUMSAJILI MOHAMED SALAH - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JUVENTUS WATENGA PAUNI MILIONI 175 KUMSAJILI MOHAMED SALAH, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JUVENTUS WATENGA PAUNI MILIONI 175 KUMSAJILI MOHAMED SALAH
kiungo : JUVENTUS WATENGA PAUNI MILIONI 175 KUMSAJILI MOHAMED SALAH

soma pia


JUVENTUS WATENGA PAUNI MILIONI 175 KUMSAJILI MOHAMED SALAH

Na Ripota Wetu
KLABU ya Soka ya Juventus wanajipanga kutoa kitita cha pauni milioni 175 ili kumsajili mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri Mohamed Salah(26). Taarifa kuhusu Juventus kujiandaa kumsajili mchezaji huyo wa Liverpool ambaye kwa sasa yupo kwenye ubora zinatokana na tetesi ambazo zimebainika kuwepo kwa mpango huo.

Wakati kukiwa na tetesi hizo, pia tetesi nyingine katika anga la soka zinaeleza kuwa hatma ya Maurizio Sarri kama kocha wa Chelsea utaamuliwa ndani ya wiki mbili zijazo.Tetesi hizo ni kwa mujibu wa Telegraph. Hata hivyo wakati ikisubiriwa hatma ya kocha huyo, inaelezwa kuwa wachezaji wa Chelsea walifanya kikao maalum cha 'kurekebishana' katika uwanja wao wa mazoezi wa Cobham jana Jumatatu kutokana na kipigo walichopata cha 6-0 dhidi ya Manchester City. (Mail)

Naye Kocha wa Derby Frank Lampard amepuuzia uvumi kuwa huenda akarithi mikoba ya Maurizio Sarri endapo Chelsea itaamua kumfukuza. (Evening Standard) Wakati huo huo kuna tetesi zinaeleza kuwa Beki wa Tottenham Juan Foyth mwenye umri wa miaka 21 amefichua kuwa alikataa kujiunga na klabu ya Paris Saint- Germain ili ajiunge na Spurs mwaka 2017. Tetesi za beki huyo zimetolewa na Goal. Tetesi nyingine kwenye soka zinadai kuwa Barcelona wamefikia makubaliano na klabu ya Eintracht Frankfurt kumsajili streka wao raia wa Serbia Luka Jovic, 21, mwishoni mwa msimu. (Diario Sport)

Wakati mshambuliaji wa Juventus raia wa Argentina Paulo Dybala, 25, anakaribia kufikia makubaliano ya kuhamia Real Madrid mwishoni mwa msimu. (AS) Kwa upande wa Manchester United wameingia kwenye kinyang'anyiro cha kumsajili kiungo wa Paris Saint-Germain Adrien Rabiot(23) mwishoni mwa msimu. (AS - via Mirror).


Hivyo makala JUVENTUS WATENGA PAUNI MILIONI 175 KUMSAJILI MOHAMED SALAH

yaani makala yote JUVENTUS WATENGA PAUNI MILIONI 175 KUMSAJILI MOHAMED SALAH Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JUVENTUS WATENGA PAUNI MILIONI 175 KUMSAJILI MOHAMED SALAH mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/juventus-watenga-pauni-milioni-175.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JUVENTUS WATENGA PAUNI MILIONI 175 KUMSAJILI MOHAMED SALAH"

Post a Comment