IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA

IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA
kiungo : IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA

soma pia


IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA

Mkuu wa jeshi la polisi nchini (IGP) Simon Sirro amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza na Kinondoni.

RPC mkoa wa Kinondoni, ACP Muliro Jumanne Muliro amekwenda kuwa RPC Mwanza huku ACP Jonathan Shana amehamishiwa makao makuu ya polisi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Februari 5,2019 kwa vyombo vya habari na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Ahmed Msangi ilieleza kuwa nafasi ya Kamanda wa kinondoni imechukuliwa na Mussa Taibu.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa mabadiliko hayo ni ya kawaida katika utendaji kazi kwa jeshi la polisi.


Hivyo makala IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA

yaani makala yote IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/igp-afanya-mabadiliko-ya-makamanda-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA"

Post a Comment