DUDE AWAGEUZIA KIBAO WANAOBEZA JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI

DUDE AWAGEUZIA KIBAO WANAOBEZA JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DUDE AWAGEUZIA KIBAO WANAOBEZA JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DUDE AWAGEUZIA KIBAO WANAOBEZA JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI
kiungo : DUDE AWAGEUZIA KIBAO WANAOBEZA JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI

soma pia


DUDE AWAGEUZIA KIBAO WANAOBEZA JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI

Na Khadija Seif ,Globu ya jamii

MSANII wa Bongomovie Kulwa Kikumba a.k.a Dude awaonya watanzania wanaobeza uhudi za Serikali ya awamu ya tano.

Dude ameyasema hayo leo Februari 7,2019 wakati wa kutembelea mradi wa reli wa kisasa (SGR) ambapo amesisitiza ni wakati wa kupongeza na kuonesha ushirikiano kwa maendeleo yanayoletwa nchini chini ya Rais Dk. John Magufuli kwani Tanzania kwa sasa ni madhubuti na imara kwa kila sekta hasa ya uchukuzi.

"Hivi karibuni tulishuhudia ndege mbili zikikabidhiwa hiyo ni wazi kuwa Rais Magufuli lengo lake ni kuhakikisha Watanzania hatuko nyuma katika suala la maendeleo,"amesema Dude.

Amesisitiza kuwa ni muhimu kwa wasanii kuwa mabolozi kwa kueleza mambo mambo mazuri yanayofanywa na Serikali na kwamba treni ya kisasa itakapoaza kutoa huduma ya kusafirisha abiria watoe hamasa ili wananchi wengi waitumie treni hiyo katika safari zao mbalimbali.

Wakati huo huo Dude ametumia nafasi hiyo kuwataka wasanii kuwa na umoja ambao utaleta tija kwa maslahi yao pamoja na kuboresha tasnia na kusiwepo kwa matabaka yatakayofanya tasnia kushuka kiwango.
MSANII wa Bongomovie Kulwa Kikumba a.k.a Dude  


Hivyo makala DUDE AWAGEUZIA KIBAO WANAOBEZA JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI

yaani makala yote DUDE AWAGEUZIA KIBAO WANAOBEZA JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DUDE AWAGEUZIA KIBAO WANAOBEZA JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/dude-awageuzia-kibao-wanaobeza-juhudi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DUDE AWAGEUZIA KIBAO WANAOBEZA JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI"

Post a Comment