DC MURO ANUSURU WANANCHI ZAIDI YA 260 ARUMERU

DC MURO ANUSURU WANANCHI ZAIDI YA 260 ARUMERU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MURO ANUSURU WANANCHI ZAIDI YA 260 ARUMERU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MURO ANUSURU WANANCHI ZAIDI YA 260 ARUMERU
kiungo : DC MURO ANUSURU WANANCHI ZAIDI YA 260 ARUMERU

soma pia


DC MURO ANUSURU WANANCHI ZAIDI YA 260 ARUMERU

Mkuu wa Wilaya huyo Ndugu Jerry Muro akizsisikiliza changamoto za 
Wananchi zaidi ya 260 katika kata ya bwawani Halmashauri ya Arusha , wilayani Arumeru Mkoani Arusha waliokuwa kwenye hatari ya kusombwa na mafuriko kufuatia nyumba zao kuanza kutitia chini ya Ardhi .Mkuu wa Wilaya huyo Ndugu Jerry Muro akizsisikiliza changamoto za 
Wananchi zaidi ya 260 katika kata ya bwawani Halmashauri ya Arusha , wilayani Arumeru Mkoani Arusha waliokuwa kwenye hatari ya kusombwa na mafuriko kufuatia nyumba zao kuanza kutitia chini ya Ardhi .

Wananchi zaidi ya 260 katika kata ya bwawani Halmashauri ya Arusha , wilayani Arumeru Mkoani Arusha waliokuwa kwenye hatari ya kusombwa na mafuriko ambapo zaidi ya nyumba 100 zilianza kutitia chini ya ardhi wamesaidiwa na Mkuu wa Wilaya huyo Ndugu Jerry Muro kutolewa katika makazi yao ya awali ambayo yalikuwa hatarishi na kupelekwa katika maeneo mengine mazuri na Salama .

Wakizungumza katika ziara maalumu ya Mkuu wa wilaya Hiyo Ndugu Jerry Muro,wananchi hao wameeleza adha wanayokumbana nayo katika eneo hilo ikiwa ni pamoja na kuishi kwenye nyumba ambazo kwasasa ni kama vibanda kutokana na kutitia kwa sababu ya mafuriko, wamesema kuwa wapo katika hatari kubwa na kuiomba serikali kuwatafutia namna ya kuwahamisha katika maeneo hayo

Kufuatia kilio cha wananchi hao ambao wanaishi katika shamba la mwekezaji Lusy Estate ambaye anaishi katika eneo hilo kwa ajili ya kilimo cha mkonge,Mwenyekiti wa ulinzi na usalama katika wilaya hiyo ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro akatoa agizo la kuhama kwa wananchi hao ndani ya juma moja ili kuzinusuru familia zao.

"Familia hizi ambazo zinaishi katika eneo hili,ni waajiriwa katika shamba la Lus estate kwa ajili ya Kilimo cha Mkonge,ambapo wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya mafuriko huku wengine wakilazimika kuyakimbia makazi yao ,ambapo sasa huenda wakanusurika kutokana na agizo hilo la mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama.",alisema DC Muro.

 Mkuu wa Wilaya huyo Ndugu Jerry Muro akizsisikiliza changamoto za
Wananchi zaidi ya 260 katika kata ya bwawani Halmashauri ya Arusha , wilayani Arumeru Mkoani Arusha waliokuwa kwenye hatari ya kusombwa na mafuriko kufuatia nyumba zao kuanza kutitia chini ya Ardhi .
  Mkuu wa Wilaya huyo Ndugu Jerry Muro akikagua baadhi nyumba  za
Wananchi zaidi ya 260 katika kata ya bwawani Halmashauri ya Arusha , wilayani Arumeru Mkoani Arusha zilizopo kwenye hatari ya kusombwa na mafuriko kufuatia nyumba zao kuanza kutitia chini ya Ardhi .
 Mkuu wa Wilaya huyo Ndugu Jerry Muro akizungumza na baadhi ya Wananchi zaidi ya 260 katika kata ya bwawani Halmashauri ya Arusha , wilayani Arumeru Mkoani Arusha waliokuwa kwenye hatari ya kusombwa na mafuriko kufuatia nyumba zao kuanza kutitia chini ya Ardhi . 


Hivyo makala DC MURO ANUSURU WANANCHI ZAIDI YA 260 ARUMERU

yaani makala yote DC MURO ANUSURU WANANCHI ZAIDI YA 260 ARUMERU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MURO ANUSURU WANANCHI ZAIDI YA 260 ARUMERU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/dc-muro-anusuru-wananchi-zaidi-ya-260.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MURO ANUSURU WANANCHI ZAIDI YA 260 ARUMERU"

Post a Comment