title : Benki ya CRDB yakanusha kufunga tawi lake la Chato
kiungo : Benki ya CRDB yakanusha kufunga tawi lake la Chato
Benki ya CRDB yakanusha kufunga tawi lake la Chato
Benki ya CRDB imekanusha taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa imefunga tawi lake la Chato mkoani Geita kutokana na kukosa biashara.
Akizungumza na Globu ya Jamii jioni hii, Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa amesema kuwa taarifa hizo si za ukweli kwani tawi hilo linaendelea vyema na biashara na ni moja ya matawi yaliyofanya vizuri zaidi katika kipindi cha mwaka wa fedha uliopita.
"Tumeshangazwa sana na taarifa hizi kwani hata ukiangalia taarifa yenyewe haina ubora unaoendana na hadhi yetu. nichukue nafasi hii kuwatangazia wateja wetu kuwa Benki haijafunga na wala haina mpango wa kufunga tawi lolote nchini" alisema Mwambapa.
Hivyo makala Benki ya CRDB yakanusha kufunga tawi lake la Chato
yaani makala yote Benki ya CRDB yakanusha kufunga tawi lake la Chato Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Benki ya CRDB yakanusha kufunga tawi lake la Chato mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/benki-ya-crdb-yakanusha-kufunga-tawi.html
0 Response to "Benki ya CRDB yakanusha kufunga tawi lake la Chato"
Post a Comment