BALOZI SEIF: UJIO WA MASHUA YA MAZINGIRA NI DARASA KWA WANANCHI WALIOWENGI NCHINI

BALOZI SEIF: UJIO WA MASHUA YA MAZINGIRA NI DARASA KWA WANANCHI WALIOWENGI NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI SEIF: UJIO WA MASHUA YA MAZINGIRA NI DARASA KWA WANANCHI WALIOWENGI NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI SEIF: UJIO WA MASHUA YA MAZINGIRA NI DARASA KWA WANANCHI WALIOWENGI NCHINI
kiungo : BALOZI SEIF: UJIO WA MASHUA YA MAZINGIRA NI DARASA KWA WANANCHI WALIOWENGI NCHINI

soma pia


BALOZI SEIF: UJIO WA MASHUA YA MAZINGIRA NI DARASA KWA WANANCHI WALIOWENGI NCHINI


Rais wa Taasisi inayosimamia mazingira ya Umoja wa Mataifa Bwana Siim Valmar Kiislar amesema wakati umefika kwa Mataifa yote Ulimwenguni kuwa na mfumo Mmoja unaoeleweka wa utunzaji wa Mazingira utakaosaidia kuifanya Dunia iendelee kubakia salama.

Bwana Siim Valmar Kiislar alisema hayo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Ofisi yake iliyomo ndani ya Jengo la Baraza la Wawakilishi liliopo Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

Akitoa shukrani zake Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Zanzibar bado inaendelea kuathirika na mabadiliko ya Tabia Nchi akatolea mfano ufukwe wa Bahari ya Msuka uliopo kaskazini mwa Kisiwa cha Pemba ambao tayari umeshaliwa na mawimbi ya Bahari kwa sehemu kubwa.

Balozi Seif aliueleza Ujumbe huo ujio wa mashua ya Mazingira katika Visiwa vya Unguja na Pemba utasaidia mfano wa Darasa kwa Wananchi waliowengi kuwa na muelekeo wa jitihada za mapambano dhidi ya mabadiliko ya Tabia Nchi yanayoikumba Dunia hivi sasa na kuleta athari kubwa ya Kimazingira.

Imetolewa na kitengo cha Habari (OMPR)
Fubuari 07, 2019.







Hivyo makala BALOZI SEIF: UJIO WA MASHUA YA MAZINGIRA NI DARASA KWA WANANCHI WALIOWENGI NCHINI

yaani makala yote BALOZI SEIF: UJIO WA MASHUA YA MAZINGIRA NI DARASA KWA WANANCHI WALIOWENGI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI SEIF: UJIO WA MASHUA YA MAZINGIRA NI DARASA KWA WANANCHI WALIOWENGI NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/balozi-seif-ujio-wa-mashua-ya-mazingira.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BALOZI SEIF: UJIO WA MASHUA YA MAZINGIRA NI DARASA KWA WANANCHI WALIOWENGI NCHINI"

Post a Comment