WAZIRI UMMY ASHIRIKI UJENZI WA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KIRARE JIJINI TANGA

WAZIRI UMMY ASHIRIKI UJENZI WA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KIRARE JIJINI TANGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI UMMY ASHIRIKI UJENZI WA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KIRARE JIJINI TANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI UMMY ASHIRIKI UJENZI WA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KIRARE JIJINI TANGA
kiungo : WAZIRI UMMY ASHIRIKI UJENZI WA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KIRARE JIJINI TANGA

soma pia


WAZIRI UMMY ASHIRIKI UJENZI WA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KIRARE JIJINI TANGA

MBUNGE wa Viti Maalumu mkoani Tanga (CCM) na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameshiriki ujenzi wa bweni la Wasichana kwenye shule ya Sekondari Kirare Jijini Tanga ambalo litakapokamilika litawasaidia kuwaepusha na vishawishi wanavyoweza kukutana nazo wanapokwenda shuleni na kukwamisha ndoto zao.

Ummy ambaye alikuwa ameambatana na viongozi mbalimbali wa wilaya ya Tanga akiwemo Mkuu wa wilaya hiyo Thobias Mwilapwa ambapo alikwenda Kata ya Kirare kuwakabidhi mabati 100 kwa ajili ya bweni hilo na zahanati ya mapojoni alipofika kwenye eneo hilo la ujenzi huo alichanganya mchanga na sarauji na baadae kuchapia ukutani.

Ujenzi huo wa Bweni la Wasichana kwenye shule hiyo litasaidia kuondosha changamoto ya watoto kutembea umbali wa kilomita kumi na tano kufuata huduma ya elimu jambo ambalo linaweza kupelekea kukumbana na vishawishi ambavyo vinaweza kukwamisha ndoto zao.

Akizungumza mara baada ya kushiriki ujenzi huo Waziri huyo ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) mkoa wa Tanga alisema atashirikiana na wananchi kuhakikisha changamoto mbalimbali zinazowakabili zinapatia ufumbuzi.

Alisema kwamba Serikali ya awamu ya tano itaendelea kuchapa kazi kwa ufanisi mkubwa ili kuweza kutatua changamoto wa wananchi ili ziweze kupata ufumbuzi haraka na kuweza kuchochea kasi ya ukuaji wa maendeleo kwao na jamii zinazowazunguka.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na Mbunge wa Viti Maalumu mkoani Tanga (CCM) Ummy Mwalimu akishiriki katika ujenzi wa vyumba vya bweni la Wasichana shule ya Sekondari Kirare Jijini Tanga jana mara baada ya kuwakabidhi mabati 100 kwa ajili ya zahanati ya Mapojoni na bweni hilo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za wananchi kushoto ni Diwani wa Kata hiyo (CCM) Mwagilo
MBUNGE wa Viti Maalumu mkoani Tanga (CCM) na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameshiriki ujenzi wa bweni la Wasichana kwenye shule ya Sekondari Kirare Jijini Tanga ambalo litakapokamilika litawasaidia kuwaepusha na vishawishi wanavyoweza kukutana nazo wanapokwenda shuleni na kukwamisha ndoto zao.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WAZIRI UMMY ASHIRIKI UJENZI WA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KIRARE JIJINI TANGA

yaani makala yote WAZIRI UMMY ASHIRIKI UJENZI WA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KIRARE JIJINI TANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI UMMY ASHIRIKI UJENZI WA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KIRARE JIJINI TANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-ummy-ashiriki-ujenzi-wa-bweni-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI UMMY ASHIRIKI UJENZI WA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KIRARE JIJINI TANGA"

Post a Comment