title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Amuwakilisha Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Mazishi ya Mkewe Mufti Mkuu wa Tanzania.
kiungo : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Amuwakilisha Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Mazishi ya Mkewe Mufti Mkuu wa Tanzania.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Amuwakilisha Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Mazishi ya Mkewe Mufti Mkuu wa Tanzania.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mazishi ya Hidaya Omar, mke wa Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubier yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamdolwa wilayani Korogwe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika sala ya jeneza wakati wa mazishi ya Hidaya Omar, Mke wa Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubeir (kushoto kwa Waziri Mkuu) yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamdolwa wilayani Korogwe, Januari 31, 2019. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Sheikh Mohammed Kigoda aliyeongoza sala hiyo na kushoto ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubeir baada ya kushiriki katika mazishi ya Hidaya Omar, mke wa Mufti ,yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamdolwa wilayani Korogwe, Januari 31, 2019. Katikati ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Amuwakilisha Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Mazishi ya Mkewe Mufti Mkuu wa Tanzania.
yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Amuwakilisha Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Mazishi ya Mkewe Mufti Mkuu wa Tanzania. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Amuwakilisha Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Mazishi ya Mkewe Mufti Mkuu wa Tanzania. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_31.html
0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Amuwakilisha Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Mazishi ya Mkewe Mufti Mkuu wa Tanzania."
Post a Comment